Rafiki yake Kim Jon Un/kiduku

Rafiki yake Kim Jon Un/kiduku

Ray waniache

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
737
Reaction score
507
f1e6e1e6d46fbe232fa3170fe9010ce7.jpg
bc116eab3d6a633d361788d05a6f76a3.jpg

Hivi kiduku amekosa marafiki kweli?
mpaka huyu?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
huyo amefanyaje labda au ulitaka awe na marafiki wa aina gani na urafiki wao na huyo ukoje au umemuathiri yeye nini.....??

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
huyo amefanyaje labda au ulitaka awe na marafiki wa aina gani na urafiki wao na huyo ukoje au umemuathiri yeye nini.....??

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
nchi yake sheria zake na anavyojinasibu dictator yaswihi kuwa na marafiki wa sample hizi?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
 
nchi yake sheria zake na anavyojinasibu dictator yaswihi kuwa na marafiki wa sample hizi?

Sent from my GT-S7301 using JamiiForums mobile app
Ndio ujue kua sio dictator kama unavyoaminishwa...

huyo kaka unayesema 'sample kama hii' ni
raia wa marekani anaitwa Denis Rodman, retired basketballer.... kwann yupo na 'kiduku'
tangu yupo shule kiduku alikua interested sana na computer pamoja na basketball na alikua anampenda sana Michael Jordan....ni vile tu mfumo wa maisha aliyojengewa na baba ake haukua unamruhusu kujichanganya hivyo mwaka 2013 alikutana na huyo bwana Rodman katika moja ya private island only kwa sababu ni basketballer na ilikua moja ya mchezo wake pendwa.....

Kua dictator hakukufanyi usiwe na marafiki wala usifurahi na watu unaowaona ni sahihi kwa muda huo, hata wewe nakushauri pendelea kua na marafiki tofauti tofauti, trust me maisha yatakua simple na yenye furaha hata siku moja hauta jihisi lonely.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Sioni tatizo yeye na tatuu zake huyu na kiduku chake hamna tatizo
 
kuna mwaka rodman alipeleka timu ya maveteran kwenda kucheza mechi ya kirafiki pyongyang na akahojiwa na CNN akiwa huko,jamaa huwa hapendi maswali ya kijinga
 
kuna mwaka rodman alipeleka timu ya maveteran kwenda kucheza mechi ya kirafiki pyongyang na akahojiwa na CNN akiwa huko,jamaa huwa hapendi maswali ya kijinga
Hahahaha aliwajibu dry nini??

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Alaf cha kushangaza huyo jamaa ni Mmarekani nchi ambayo ni adui yake mkubwa
 
Hahahaha aliwajibu dry nini??

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
yeaah eti mtu kaenda kimichezo alafu wanamuuliza ishu za kisiasa,eti mambo ya freedom,siunajua tena wamarekani wanajifanyaga wao ndo viranja wa dunia,self righteous bulshit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom