Rafiki Yake amenipa - Nimeumia Moyoni

Rafiki Yake amenipa - Nimeumia Moyoni

Hapana insta babe sio kwa rafiki wa mpenzi wako jamani
kweli insta babe hapo huyo msichana kafeli...

ila bado nipo naye kwann alikuwa anambania mchizi hayo ndiyo madhara yake..

alafu kingine kikubwa ni kujifunza kuseparate marafiki na mpenzi wako yani mahusiano yao yabakie kwenye ishemeji tuuu na si vinginevyo

kuruhusu rafiki yako kuwa msuluhishi mkubwa wa mahusiano yako haya ndio matokea yake.. mkigombana kidogo unamruhusu aongee na bebe hayo ndio madhara sasa...

kumbe dada wa watu ana huruma bwana 😂😂😂 akamhurumia mshkaji
 
Mm ndio mana rafiki yangu ni rafiki yangu sio rafiki wa mbebez wangu

Hata kama umenyimwa unavumilia tu na huyo rafiki nae ni nyoka kujilengesha kwa shemeji yake ndio mana kaliwa
kweli insta babe hapo huyo msichana kafeli...

ila bado nipo naye kwann alikuwa anambania mchizi hayo ndiyo madhara yake..

alafu kingine kikubwa ni kujifunza kuseparate marafiki na mpenzi wako yani mahusiano yao yabakie kwenye ishemeji tuuu na si vinginevyo

kuruhusu rafiki yako kuwa msuluhishi mkubwa wa mahusiano yako haya ndio matokea yake.. mkigombana kidogo unamruhusu aongee na bebe hayo ndio madhara sasa...

kumbe dada wa watu ana huruma bwana akamhurumia mshkaji
 
Mm ndio mana rafiki yangu ni rafiki yangu sio rafiki wa mbebez wangu

Hata kama umenyimwa unavumilia tu na huyo rafiki nae ni nyoka kujilengesha kwa shemeji yake ndio mana kaliwa
saaaaaafi na ibaki hivyohivyo insta babe usije wamix hao watu wawili...

wanaume huwa tunakuwa wadhaifu sana hasa tukiwa desperate na kitu fulani

sasa huyo rafiki akatumia huo mwanya na inaonekana alikuwa anamtaman shemeji yake kitambo au wote walikuwa wanatamaniana
 
Nyie viumbe akili zenu insta babe mnazijua mwenyewe tatizo letu sisi ni ile kusimuliana story ndio kilichomponza huyo mbebez wa watu

alafu sasa hapo ndio tayar umeshakuwa mchezo huo watarudia na kurudia na kurudia...

huku akiwa naye anamuuliza shem anaendeleaje kumbe usiku alikuwa naye wanawake bwana 😂😂
 
Back
Top Bottom