JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 8,202
- 11,351
Wana JF - Niko hapa kuwaletea mrejesho.
Juzi kati niwataarifu kuhusu rafiki yake kuamua kunipa.
Rafiki yake ameniambia atanipa baada ya yeye kunizungusha - JamiiForums
Weekend hii hapa bana yule rafiki yake akaniita tuonane nikakubari. Nikafika akaanipiga jicho huku akitabasamu kimahaba balaa. Nilijikuta jeki linanyanyua nguo. Nikawa nawaza zile shanga zake alovaa kwenye picha alizo nitumia.
Akaniomba twende pahala nikamununulie kinywaji kwani alikuwa anataka soda ama juice. Ili kuwa saa nne asubuhi tukaenda, Tulipofika ile sehemu ni gorofa furani hivi harafu kule ndani kuna lounge. Iko na mwanga wa kufifia kidogo afu viti vyake ni vya masofa ukikaa unajiachia kwa raha zako. Nikamwagizia kinywaji nami nikaagiza tukanywa. Wakati tunakunywa huku tukipiga story akawa ananionyesha picha mbalimbali akiwa ufukweni na rafiki zake huku amevalia nguo za ufukweni.
Aliendelea kunionesha zingine anacheza mziki nyumbani -Alooooooo Mtoto kiuno kilani saa. Akawa ananionesha na za rafiki yake (Mpenzi wangu) akiwa kwenye mavazi ya kujiachia. Kadili muda ulivyokuwa unaenda nishampatia sifa za kutosha huku hakili yangu ishajua fika kwamba leo ni leo.
Badae yule rafiki yake (Mpenzi wangu) akapiga simu kwangu nikajisemea hatari hiyo. Kwa kuwa simu nilikuwa nimeweka mezani huyo binti akaona anae piga akanambia nipokee? (kimatani). Nikasema leo kazi ninayo . Nikapokea niikaongea nae huku mapigo ya moyo yananienda lesi kwamba leo ni siku ya fumanizi.
Maongezi yenyewe.
1. Yeye. Mambo mpenzi
2. Mimi . Poa nambie.
3. Yeye.. Shwari tu mbona unajibu kwa upole hivyo leo? (Hapa nilikuwa nimesogelea sana na rafiki yake kiasi kwamba tunapapasana?
4. Mimi .. Uchovu tu.
5. Yeye. Kwani uko wapi.. Kama vipi njoo tutoke.
6. Mimi ... Leo ratiba yangu iko tight kidogo.
7. Yeye ... Okay ukiwa free nambie basi nataka twende sehemu.
8. Mimi .. Poa . Huku nawaza nimenasa kwenye mtego ee.. ahapa huyu rafiki yake ananipapasa hadi kidevu. Tumekaa kwenye masofa hadi tumesahau kama kuna shida huko duniani.
Niishie hapo kwanza saizi nitakuja kumalizia nikitulia.