Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu !!

Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika humu, lakini naomba ushauri je nipite nae jaman au nifanyeje !?
Utoto raha sana.
 
Kweli we ni kilaza unapost ujinga
 
Kuna siku humu JF tutakuja kuulizwa ….eti “wakuu mavi yamenibana, ninye au nisinye?”
Thread za kitoto zimezid sana…..au ndo akili za Vijana wetu nini wa siku hizi?
 
Kuuliza SI ujinga Bali anaeulizwa na kuuliza swali ndio mjinga .. usikubali kuwa mjinga
Wala usibishe, ulichouliza ni cha kijinga. Jaribu ku-grow up a bit. Hata ile thread yako ya sijui girlfriend/mchumba kapata scholarship na kakuacha haina maturity content yeyote. Better uwe msomaji rather than typing low content threads. Ni hayo tu mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom