F fmwanda Member Joined Dec 15, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Dec 22, 2011 #1 Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata kubadilisha maujanja ya namna maisha yanavyoenda.Ebu nifurahisheni kwa kunijibu mapema
Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata kubadilisha maujanja ya namna maisha yanavyoenda.Ebu nifurahisheni kwa kunijibu mapema
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Dec 22, 2011 #2 Lazima wanawake?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Dec 22, 2011 #3 hivyo eeeh....
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,160 Dec 22, 2011 #4 Mmmmhhhh haya bwana, kila la heri
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Dec 22, 2011 #5 unataka kuchat kuanzia kiunoni kwenda juu kichwani? Au kuanzia kiunoni kushuka chini miguuni? Afu ntakupa jibu zuuri.
unataka kuchat kuanzia kiunoni kwenda juu kichwani? Au kuanzia kiunoni kushuka chini miguuni? Afu ntakupa jibu zuuri.
Roulette JF-Expert Member Joined Dec 15, 2010 Posts 5,568 Reaction score 5,387 Dec 22, 2011 #6 utapata tu... 🙂
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Dec 23, 2011 #7 Tukutane kwa Nicky kesho. . . bili juu yako!
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,863 Dec 23, 2011 #8 Toa namba zako kwenye magazeti. Kule utawapata wengi tu.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Dec 23, 2011 #9 Lizzy said: Tukutane kwa Nicky kesho. . . bili juu yako! Click to expand... Teh hata mi nitawajoin tu ila nitakuwa na wangu tukale Samaki wa Kuchoma.
Lizzy said: Tukutane kwa Nicky kesho. . . bili juu yako! Click to expand... Teh hata mi nitawajoin tu ila nitakuwa na wangu tukale Samaki wa Kuchoma.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Dec 23, 2011 #10 Husninyo said: Lazima wanawake? Click to expand... Hata mi nashangaaa, hajui si machalii wa Kiarusha ndo tuna Michongo ya kufa mtu kuliko wadada. Km vp aje Mat....ko Bar atatupata.
Husninyo said: Lazima wanawake? Click to expand... Hata mi nashangaaa, hajui si machalii wa Kiarusha ndo tuna Michongo ya kufa mtu kuliko wadada. Km vp aje Mat....ko Bar atatupata.
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,904 Dec 23, 2011 #11 Erickb52 said: Hata mi nashangaaa, hajui si machalii wa Kiarusha ndo tuna Michongo ya kufa mtu kuliko wadada. Km vp aje Mat....ko Bar atatupata. Click to expand... Nimeshajua unapokaa
Erickb52 said: Hata mi nashangaaa, hajui si machalii wa Kiarusha ndo tuna Michongo ya kufa mtu kuliko wadada. Km vp aje Mat....ko Bar atatupata. Click to expand... Nimeshajua unapokaa
Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,187 Dec 23, 2011 #12 Hapa watakuyeyusha tu, wengi wanaojibu ni wa Dar. We tengeneza bango, livae kifuani na anza kukata mitaa ya A Town, utawapata tu
Hapa watakuyeyusha tu, wengi wanaojibu ni wa Dar. We tengeneza bango, livae kifuani na anza kukata mitaa ya A Town, utawapata tu
F fmwanda Member Joined Dec 15, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Dec 28, 2011 Thread starter #13 cjapendelea na hata hivyo cjataka mpenzi,kuchat hakuna mipaka ni kwa jinsia zote
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Dec 28, 2011 #14 Husninyo said: Lazima wanawake? Click to expand... Hapo ndipo patamu!
MwafrikaHalisi JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 1,741 Reaction score 511 Dec 28, 2011 #15 fmwanda said: Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata Click to expand... fmwanda said: kuchat hakuna mipaka ni kwa jinsia zote Click to expand... Sijui mi naona vibaya. Ok, bye!
fmwanda said: Now at A-town nnajitahidi kwa nguvu za majicho yangu kuangaza apa na kule ili nipate rafiki ama marafiki wa kike ambao tutapata Click to expand... fmwanda said: kuchat hakuna mipaka ni kwa jinsia zote Click to expand... Sijui mi naona vibaya. Ok, bye!
F fmwanda Member Joined Dec 15, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Dec 28, 2011 Thread starter #16 kuchati hakuna mipaka na ni yeyote yule
F fmwanda Member Joined Dec 15, 2011 Posts 21 Reaction score 1 Dec 28, 2011 Thread starter #17 tatizo sio bil bal ni nani wa spend nae na wapi
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Dec 29, 2011 #18 Erickb52 said: Teh hata mi nitawajoin tu ila nitakuwa na wangu tukale Samaki wa Kuchoma. Click to expand... We ndio wale wanaopenda kuvurugia wengine maongezi yao, au unataka kushuhudia tutakavyotongozana?
Erickb52 said: Teh hata mi nitawajoin tu ila nitakuwa na wangu tukale Samaki wa Kuchoma. Click to expand... We ndio wale wanaopenda kuvurugia wengine maongezi yao, au unataka kushuhudia tutakavyotongozana?
S Shigo Siyc Member Joined Nov 28, 2011 Posts 14 Reaction score 0 Dec 29, 2011 #19 hiyo co ishu kuubwa..mruhusu aweze ku join..