naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
Rafiki wa girlfriend wako unawasiliana nae wa nini?
mmh! Jielezee vizuri...kuna mambo hujasema
Huu ushemeji ushemeji hata huwa siuendekezi kabisa
kujifanya tumeshibana hadi uwasiliane na baby wangu marufuku
haya wewe...huyo akinuna anakupunguzia nini? unawasiliana nae nini hicho cha kukupa mawazo baada ya yeye kununa?na huo uchumba wenu atauharibu vipi?
kama hujamchombeza huyo shemeji ako sijui tu make hamkawii mxyuuuuuuu
Nawakilisha kutoka kwa jamaa yangu moja anaomba ushauri jamani. Girlfriend wangu kajaliwa mwaka jana lakini mwezi jana nilienda kumtembelea maana yeye anafanyia kazi Tabora na mimi nipo Mbeya.
Pale kazini kwao ana rafiki yake wa kike ambaye nimekuwa nikiwasiliana naye mara kwa mara kwenye simu lakini hatukuwahi kuonana ana kwa ana, lakini mwezi jana nilienda Tabora kumtembelea mchumba wangu pia nikabahatika kuonana na huyo rafiki yake lakini sasa baada ya pale ( baada ya kuonana na huyo rafiki wa g-friend wang), yule binti kabadilika sana yaani huyo rafiki wa girlfriend wangu, nikimpigia simu hapokei niki mtext hajibu.
.....Nisaidieni wana jamvi nini kifanyike.
Najua ni vigum kueleweka lakini jamani ata mimi yamenishida thsy nikaweka uzi huu hapa ili mnisaidie hajabu sasa mnalaum eti kuna kitu kinaendelea kati yetu, salt kama kuna kinachoendelea baina yetu ningeanika lakn hatujawah ata kutongozana.
Rafiki wa girlfriend wako unawasiliana nae wa nini?
Najua ni vigum kueleweka lakini jamani ata mimi yamenishida thsy nikaweka uzi huu hapa ili mnisaidie hajabu sasa mnalaum eti kuna kitu kinaendelea kati yetu, salt kama kuna kinachoendelea baina yetu ningeanika lakn hatujawah ata kutongozana.
Umeandika:
Wengi tulidhani anayetaka ushauri ni rafiki yako ila hapa ukachanganya masomo
Wichi iz wichi?
mwenzangu!!!!!kudanganya nacho kipaji....