Rafiki,ni dhana pana Kwa kiwango changu cha uelewa rafiki ni zawadi toka kwa Mungu, Unaweza kuwa na mke au mme mkawa marafiki , uweza kuwa na watoto au mtoto akawa rafiki yako ,kwa ufupi rafiki yako hukopi wala humkopeshi, unambebea ,anakubebea pia rafiki aweza kuwa tajiri au maskini ,Dunia ya Leo inapima urafiki kupitia vipato,pesaro nk.