Hivi ni kwa nini sisi wanaume hatutaki kabisa kuona marafiki zetu wana date na dada zetu, mimi binafsi sitaki kabisa kusikia kitu cha namna hiyo, nimefuatilia na kukuta wanaume/wavulana wengi wako namna hiyo, ni kwanini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.