Natafuta mwanamke atakae kuwa rafiki yangu mpaka kuwa mchumba, nina kazi yangu safi so usihofu kuhusu mkwanja na kila kitu, Email-kbrama77@gmail.com 0687270030.
teh teh kwan m2 unasoma ili iweje??? alafu kumbuka kama ww unafanya biashara basi uc force na mm nifanye hvy,nna kazi yng Serikalini safi mshahara wng unantosha kula na huyu ntakae mpata hapa,so usifananishe watu
Haya lakini ukitaka uhalisia mapenzi ya namna hii ni machache yakadumu kwani naamini unaweza kumpenda ni yule unaeweza kumuona kwanza ndio utadevelop mapenzi lakini haya yakutangaza kama kazi sijui kama kuna seriousness