Rafiki elimu foundation vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki elimu foundation vipi?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by EPORA, Aug 27, 2012.

 1. E

  EPORA Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Habari wakuu,naomba mwenye taarifa kuhusu mafunzo yao ya septemba anijuze manake naona kimya sana na muda unakatika na watu tushatoa ada ya mafunzo.
  Nawasilisha.
   
 2. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye blog yao wamesema watatoa majina dar trh 28 saa 10 jioni ila ndo kimya ,mikoani watatutumia sms pia bado wako kimya, jaribu kuwapigia simu watakueleza. Ila tembelea blog yao mara kwa mara .
   
 3. f

  fered mbataa JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 240
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwenye blog yao wamesema watatoa majina dar trh 28 saa 10 jioni ila ndo kimya ,mikoani watatutumia sms pia bado wako kimya, jaribu kuwapigia simu watakueleza. Ila tembelea blog yao mara kwa mara .
   
 4. k

  kansenyeje Member

  #4
  Nov 27, 2012
  Joined: Dec 11, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba munieleweshe kazi za hawa jamaa zikoje na rate zao zipo vp!!?
   
 5. m

  mtendaji wa kijiji JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 539
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Walitudanganya Arusha kuwa November 1 watafanya training hadi leo
   
 6. matumbo

  matumbo JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 7,199
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Duh tangu mwezi August bado unasubiria tu..ushatapeliwa mkuu.
   
Loading...