Rafael Marquez , Kisiki kikongwe cha Mexico

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,429
Nimeshangazwa sana na uwezo wa mchezaji huyu mkongwe na beki wa kati wa Timu ya Mexico.

Baada ya kumuona tena jana akiwa na uwezo ule ule wa miaka yote kwenye game ya Confederation cup dhidi ya Newzealand nimeshangaa sana!

Taarifa zinaonyesha kwamba alizaliwa tarehe 13/2/1979 , katika mji wa Zamora , nchini Mexico , hivi sasa ana miaka 38 lakini ndio kwanza unaweza kudhani ana miaka 20.

Ni nini siri yake ?
 
Umenikumbusha ya Madaraka Selemani , akiwa na miaka 42 nyaraka zilionyesha ana miaka 28 !
Nimeanza kumsikia Kaseja Niko darasa LA Pili Lakini sasa hivi ana miaka 28 huku Mimi pia Mimi Nina huo umri sasa nawaza hivi pale Moro united Kaanza kucheza Akiwa na miaka 10??? Mwingine ni Mrisho Ngasa Toka nianze kumsikia Akiwa Kagera Mimi Niko kama daras LA 3 au la 4 hadi Leo ana miaka cjui 27 sasa sijui Alianza kucheza ligi kuu akiwa na miaka10??? Bongo na Africa umiza kichwa sana
 
Nimecheka sana !
 
Kuna yule Luizio wa Simba ana 19 wakati kacheza sana Mtibwa na Zesco 2years
 
Mkuu, hata mie kanikuna mno.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…