kelvin nir
Member
- Apr 20, 2025
- 18
- 21
Kwa nn bugando hijawakewa udahili wa radiology ganzi ya shahada kwa guidelines 2025/2026
Itakuwa imeondolewaKwa nn bugando hijawakewa udahili wa radiology ganzi ya shahada kwa guidelines 2025/2026
Imerudishwa kwa Ngazi ya NACTEinawezekana imefungiwa na TCU.
Pia Kwa Kampala university MD, na Bpharm nazo hazipo kwenye hii guidebook 2025/26 Shida nini hapo?Imerudishwa kwa Ngazi ya NACTE
Kampala Haijakidhi Vigezo vya Kuzalisha MD na Kila Mara Huwa Inafungiwa Kama Unakumbukumbu Utakumbuka Hata Magufuli aliwahi kuifungiaPia Kwa Kampala university MD, na Bpharm nazo hazipo kwenye hii guidebook 2025/26 Shida nini hapo?
Na St.john University pharmacy imeftwa😭Kampala Haijakidhi Vigezo vya Kuzalisha MD na Kila Mara Huwa Inafungiwa Kama Unakumbukumbu Utakumbuka Hata Magufuli aliwahi kuifungia
Kwa Sasa Kwa anaetaka kusoma Bpharm Kuna option 3 tu; MUHAS, CUHAS na UDOM maana vyuo vingne wamefungia. Hii italeta competition kubwa sana.Na St.john University pharmacy imeftwa😭
Yah competition itakuwa ya hatari sana.Kwa Sasa Kwa anaetaka kusoma Bpharm Kuna option 3 tu; MUHAS, CUHAS na UDOM maana vyuo vingne wamefungia. Hii italeta competition kubwa sana.
Kumekucha kumechangamka aisee kipengeleYah competition itakuwa ya hatari sana.
Hizo za lab Waliomaliza Intern Mwaka jana walisema wanazifuta hawadahili tenaHata MUHAS kuna Shahada zimeondolewa kwenye udahili mwaka huu, mfano ni Bsc. Microbiology na Zile Sahada za Maabara tofauti na General Lab (kama vile Hematology)
Wamefanya jambo la maana, zilikua zinawafanya waonekane wanyonge sana, unajikuta wewe umebobea kipande kimoja na unaenda kushindana kwenye soko na wenzako waliosoma kila kitu pamoja na hicho ulichobobea wewe.Hizo za lab Waliomaliza Intern Mwaka jana walisema wanazifuta hawadahili tena
Hizo ziliishia mwaka juzi sasa hivi general pekeeHata MUHAS kuna Shahada zimeondolewa kwenye udahili mwaka huu, mfano ni Bsc. Microbiology na Zile Sahada za Maabara tofauti na General Lab (kama vile Hematology)
Kichekesho kilikkuwa kwenye Intern wakija hizi RRH wanaambiwa waritate idara zoteWamefanya jambo la maana, zilikua zinawafanya waonekane wanyonge sana, unajikuta wewe umebobea kipande kimoja na unaenda kushindana kwenye soko na wenzako waliosoma kila kitu pamoja na hicho ulichobobea wewe.