Mkuu kama ushazitumia naomba kujua ubora wake na ubaya wake kwani aina hiyo ya radia ni jina geni sana.Pia guarantee yake inakuwaje? kwa nilivyoi check sijaona kama inatumia Bluetooth naomba hilo kujua. Pia ukiifunga kwenye gari uhakika wa kutumika kwa muda au miaka mingapi? Asante
mkuu,kwa ubora ni bora sana, huyo aliyenitumia anasema huko ujerumani AEG ni jina kubwa sana kwenye mambo ya electronics, kuhusu guarantee itakuwa ngumu mkuu, si unajuwa duka linyewe la mkononi,sema kama utakuwa na huwezo wa kutuma ujerumani inapotokea kitu, guarantee hiko ya miaka mitatu, lakini inatakiwa isiwe imechokonolewa na mafundi wa home, bluetooth haina.
maelezo mafupi kuhusu AEG:
EVER SINCE ITS FOUNDATION IN 1887, AEG HAS PIONEERED ADVANCED ELECTRICAL ENGINEERING, BEING SYNONYMOUS WITH GERMAN ENGINEERING, DESIGN AND PRECISION.
AEG stands for excellence in performance and German engineering, which is why each product or service is created and developed to be
Perfekt in Form und Funktion.
The AEG brand offers a full range of products that continue the proud history of the brand. A track record which started with electric light bulbs evolved over the years to include everything from cars, trains, power tools and electric machines to instruments, nuclear power, motors, microelectronics and more. The brand is as attractive and relevant today as it was over 120 years ago.
Perfekt in Form und Funktion is more than a slogan it is a philosophy.