Radio za gari

Mfikilwa

JF-Expert Member
Mar 11, 2008
407
116
salaam wakuu, nimeshushiwa mzigo mwingine tena wa radio za gari zinatoka ujerumani, ni mpya(siyo used), zinapiga Audio CD,CD-RW,MP3,USB,SD/MMC, 4 x 100 Watt Max. bei imepungua kidogo, 250,000 hela ya kwetu. unakuwa na USB-stick yako unajaza nyimbo zako kwenye mp3 format basi wewe unakula ngoma mpaka basi.

nitwangie 0715250540 ama 0773250540
 

Attachments

  • 02.jpg
    02.jpg
    45.2 KB · Views: 166
  • 03.jpg
    03.jpg
    32.8 KB · Views: 158
  • 04.jpg
    04.jpg
    22.7 KB · Views: 159
  • 01.jpg
    01.jpg
    48.5 KB · Views: 108
salam wakuu, nimeshushiwa mzigo wa radio za gari zinatoka ujerumani, ni mpya, zinapiga cd/mp3,usb,sd/mmc, 4 x 100 Watt bei ni 28000.

Mkuu thanks. Ila nahitaji kujua zinapatikana vipi? Na zinakuja na accessories? I mean speakers etc?
 
salam wakuu, nimeshushiwa mzigo wa radio za gari zinatoka ujerumani, ni mpya, zinapiga cd/mp3,usb,sd/mmc, 4 x 100 Watt bei ni 280,000 hela ya kwetu.

nitwangie 0715250450

Walioko Mwanza, arusha na kwingineko watazipataje?
 
arusha tutatumia basi la kilimanjaro na mwanza tutatumia basi la allys, kwamaelezo zaidi tuwasiliane.
 
Mkuu kama ushazitumia naomba kujua ubora wake na ubaya wake kwani aina hiyo ya radia ni jina geni sana.Pia guarantee yake inakuwaje? kwa nilivyoi check sijaona kama inatumia Bluetooth naomba hilo kujua. Pia ukiifunga kwenye gari uhakika wa kutumika kwa muda au miaka mingapi? Asante
 
atakaeitaji kwa kupelekewa kwa ndege bei nafuu awasiliane na 0715 394339..kwa mwanza,zanzibar,jro,kigoma,shinyanga,nk
 
Mkuu kama ushazitumia naomba kujua ubora wake na ubaya wake kwani aina hiyo ya radia ni jina geni sana.Pia guarantee yake inakuwaje? kwa nilivyoi check sijaona kama inatumia Bluetooth naomba hilo kujua. Pia ukiifunga kwenye gari uhakika wa kutumika kwa muda au miaka mingapi? Asante

mkuu,kwa ubora ni bora sana, huyo aliyenitumia anasema huko ujerumani AEG ni jina kubwa sana kwenye mambo ya electronics, kuhusu guarantee itakuwa ngumu mkuu, si unajuwa duka linyewe la mkononi,sema kama utakuwa na huwezo wa kutuma ujerumani inapotokea kitu, guarantee hiko ya miaka mitatu, lakini inatakiwa isiwe imechokonolewa na mafundi wa home, bluetooth haina.

maelezo mafupi kuhusu AEG:

EVER SINCE ITS FOUNDATION IN 1887, AEG HAS PIONEERED ADVANCED ELECTRICAL ENGINEERING, BEING SYNONYMOUS WITH GERMAN ENGINEERING, DESIGN AND PRECISION.

AEG stands for excellence in performance and German engineering, which is why each product or service is created and developed to be “Perfekt in Form und Funktion”.

The AEG brand offers a full range of products that continue the proud history of the brand. A track record which started with electric light bulbs evolved over the years to include everything from cars, trains, power tools and electric machines to instruments, nuclear power, motors, microelectronics and more. The brand is as attractive and relevant today as it was over 120 years ago.

Perfekt in Form und Funktion is more than a slogan – it is a philosophy.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom