Poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia.
Wana jamvi poleni na shughuli zenu za kimaisha. Niko kwenye hatua za mwisho kufungua kituo cha radio, hivyo naomba mawazo yenu wanajamvi kuhusu jina zuri la kutumia. Nitashukuru kwa mawazo yenu tafadhali.
Malengo makuu yanayotarajiwa kwenye redio yako ni yepi? Is it entertainment, news, ya kijamii locally au nini hasa. Ukijibu hill utatusaidia kutoa suggestions
Binafsi ningeshauri uiite jina la wilaya iliyomo. Mfano, Kilosa Fm, Mikumi fm,au Mvomero Fm.
Au Iite Pride Radio, Sauti Radio, City Fm Radio, na Radio Star Fm....
nimeishia hapo