na mimi nimetegeshea hapokuna aliyesema arusha mambo FM ebu tegeshea hapo pia , nimetegesha haijaanza .
Mkuu umeme ni janga , hapa tanga toka mapema asubuhi wameondoa umeme kitu ambacho si cha kawaidadu. kwetu umeme umekatika. naomba msaada wa updates humu jf kuhusu bunge leo
Wapendwa naomba kujua ni redio gani ipo kwenye app ya tunein au website inayotanganza direct kutoka bungeni
Ningependa kusikiliza report ya escrow toka PAC
Samahani sana sipo tanzania ila nasikiliza redio kadhaa pitia TuneIn na mtandao my favorite ni Esat Africa Radio ila hawatangazi direct toka bungeni
Tafadhali nisaidieni
Thanks. Iko hewani.