Radio Imaan yaitaja JamiiForums kuhusika na uchochezi wa kidini nchini

Status
Not open for further replies.
Mkuu wangu, nimeanza kuisikiliza Radio Imaan baada ya jamaa kuanzisha topic kupitia mtandaoni ( Radio Imaan - MOROGORO - Listen Online ) hivyo yawezekana kweli haikuwa kama mwanzisha hoja aliandika.

Lakini, pamoja tunaweza kusaidiana kuwaelimisha waamini wa dini zote pindi wanapoenda kombo. Wanafanya vema kama wanasoma maoni ya JF na wanatoa credit, lakini wasiishie kusoma yale mabaya tu; kuna mazuri, kuna wanachama wenye mitizamo chanya na wenye mitizamo hasi.

Rai yangu ni vyombo vya habari vinavyohudumia offline community kuwa makini vinapowasilisha hoja kwa wananchi kwani wengine wanayachukulia maoni ya walio studio kuwa SAHIHI bila kupata muda wa kuyachambua kama tunavyochambua hoja humu ndani.

Again, I may be wrong!

:ranger: ray:
 
....mleta mada kaleta huu uzi kishabiki kitu ambacho kibaya sana.

....

Haya maneno ya kipuuzi kabisa mleta huu uzi kaamua kuteka akili za watu na kafanikiwa.
Nadhani umeona ulivyojibiwa hapa chini...
nipo morogoro. nasikiliza kwa umakini redio imaan sikurupuki
Something is very wrong somewhere. Hivi sisi ambao walau tuna elimu ya kupambanua mambo tunaposhiriki propaganda bila kuzipembua tunatarajia nini kwa ambao hawakubahatika kuipata fursa hii?
 
thanks, mkuu
 
kwani kuna uongo gani kwa walicho ongea?
Hapa jf kuna coment kibao za kuchochea udini na mods hawajazifuta au kuchukulia hatua wanao husika.

Nani ambae hajui hilo?
Ni majuzi tu watu walikuwa wanasikitika kwanini polisi hawakuua walau waislam kumi kwenye maandamano.
Huo sio uchochezi?
 
Hawakawii kusema jamii forum inamilikiwa na wakristo.kwani wakifanya vitu sivyo wasiambiwe?wayaangalie mafundisho wanayowapa watoto wao huko madrasa,mbona isiwe mtoto wa dhehebu la kikristo aliyempa vitisho vya kipuuzi juu ya biblia?kwasababu watoto wa madhehebu ya kikristo hawapewi mafundisho yasiyo na kichwa wala miguu wao wanafundishwa biblia na upendo baina yao na jirani zao.
 
Kama hizi hapa hawazisomi.. Wanazipotezea ..zinawachoma.. Nawashauri kwa vile wanaitembelea JF wajiunge but nina uhakika wapo humu JF
. redio imaan inawachoma sana wakiristo na BAKWATA kwani wanaona maslahi yao yanatetereka
 
kwani kuna uongo gani kwa walicho ongea?
Hapa jf kuna coment kibao za kuchochea udini na mods hawajazifuta au kuchukulia hatua wanao husika.
Think outside the box,

Umewahi kuiona hii button JF?



Umewahi kuitumia?

Hivi unajua kwa siku za kawaida JF inapata comments zaidi ya 15,000? Umewahi kutumia facebook? Umeshaona comments chafu zilizo huko? (hasa kwenye groups na pages); unaweza kudai kuwa Facebook ni against uislam?

***THINK!***

opcorn:
 

Msiwe mnachukia tu, Bwana yesu hakuwa hivyo. sikilizeni hoja sio chuki
 
Hawa wasomi au wabiga debe wa ubungo bus terminal? au wanatumia JICHO la tatu kuona??
 
Tatizo watu tunapenda kusikia vitu tunavyovipenda...Redio Imaan wanapamba na serikali kama jamii zingine zinavyopambana kudai haki zao.
 
wanishangaza sana....wanajaribu kutuaminisha vitu impossible....wanamattack dr.slaa personally....ivi mtu kuw padri inamuondolea sifa kuwa kiongozi au mkosoaji?? au ukiwa muaislam basi wewe ni Mngu huwezi tenda makosa kama wanavyo tuaminisha kuhusu JK...na asikosolowe na Mkristo
 
heshima mmeanza kutuvunjia nyie. Na imani zenu za mitaani
A
 
hata ukiwa muislam jf unaonekana Kiroja. anadai mbona serekali ilichomwa kiwanda cha mashafu na wakiristo huko Mwenge serekali ilisema hilo tatizo dogo tu. lkn kanisa linaambiwa ndio nembo ya taifa
 
Tatizo watu tunapenda kusikia vitu tunavyovipenda...Redio Imaan wanapamba na serikali kama jamii zingine zinavyopambana kudai haki zao.
lkn mbona wakiristo wanaipiga vita? hata Chadema nayo wanaipiga vita?kama inapambana na ccm basi si tuisadie?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…