Radio Imaan yaitaja JamiiForums kuhusika na uchochezi wa kidini nchini

Status
Not open for further replies.
Jamani mkumbuke izo kejeli zenu kwa viongozi wetu wa dini co zao tu ni zetu pia!,naombeni tuheshimiane na imani zetu tusije tukageuza apa jamvi la matusi!,mpaka inafkia mtu et anachangia "watu wengine na imani za kuunga unga" modes post za aina hii zinatupandisha hasira!!!!!!!,au na ss tuanze kurudisha matusi ili kiwe nn???!jamani naomba tuheshimiane..

hao viongoz wako wangekuwa na elimu ambayo c ya kuungaunga wasingei judge JF kutokana na comment 1 ambayo imetolewa na member kama wewe.. Hao unaosema wametukanwa ndo wamefika elimu ya chuo lakini ndo vilaza hvyo .vp kuhusu wewe ambaye hujafika level zao? Una kitu kweli upstairs?
 
Hata mke au Mume ndani ya nyumba akitaka kutengana na mwenza wake choko choko haziishi hata ufanye nini kila kitu kinakuwa kibaya na mwisho wa siku ni talaka, mkishatengana kwa muda mmojawapo akaenda nje akaona kumbe kile kilchofanya akadai talaka hakina manufaa kwake basi unaanza kutafutwa usuluhishi, lakini wakati huo hasara zishapatika ikiwamo watoto kuathirika kisakolojia na uchumi wa familia kudumaa.

Nionavyo mimi baadhi ya wenzetu waislamu wameichoka amani, wamewachoka wakristo kana kwamba wakristo ni wageni na waliomba hifadhi hapa Nchini, sababu wanazijua wao, wanataka watu wachukiane, wachinjane wakiamini kabisa wao ndio wanajua zaidi fujo hivyo watawashinda wakristo kama vita vikianza leo, lakini wakae wakijua hata ikitokea vita washinde wakristo au washinde waislamu hasara na majuto vitakuwa vikubwa kuliko hiyo furaha ya ushindi wanayoitazamia.

Ombi langu kwa Radio Imaani:
kama muna nia ya kweli ya kutaka kuukomboa uislamu (Sijui kutoka wapi) tafuteni njia nyingine lakini sio ya kupandikiza chuki miongoni mwa Watanzania kwa misingi ya dini, tumeishi kwa miaka mingi kama ndugu, tukishiriki misiba, harusi, ngoma, kusaidiana kwa hali na mali na hata kuoleana miongoni mwetu leo hizi choko choko zinatoka wapi? acheni hayo mambo, hamasisheni vijana wa kiislamu waende shule, wafanye kazi kwa bidii na sio kuwafundisha karate.

Vita haina macho itasomba aliyepo na asiyekuwepo, majuto ni mjukuu tafadhali tufikirie mara mbili kama kweli haya tunayofanya yanafaida au hasara.
 
Tatizo watu tunapenda kusikia vitu tunavyovipenda...Redio Imaan wanapamba na serikali kama jamii zingine zinavyopambana kudai haki zao.

Mkuu tuachane na ushabiki na mtazamo wa kuegemea upande mmoja. Radio Imaan inawapa shida watu wa dini zote na watawala vile vile.

Radio Imaan inapambana na serkali, inapambana na wakristo lakini pia inapambana na Waislamu hasa kwa kupambana na BAKWATA.

Lakini kinachomipa shida zaidi ni pale hii radio inapoeneza maneno ya uchochezi ambayo mara nyingi ni ya uongo! Wasemaji wao ni watunzi wazuri wa story ambapo huchukua ukweli Na kuupindisha ili kupata ushawishi. Nadhani sifa kuu ya kuweza kuongea radio Imaan ni kuwa muislam anayeweza kupindisha ukweli.

Naungana nawe kwamba nchi hii wananchi walio wengi wako kwenye harakati za kutafuta haki. Mfano hata ndani ya serikali au chama tawala chenyewe bado huko napo watu wanaona haki yao inadhulumiwa ndio maana utasikia leo Sumaye analalamika, kesho Sita, nk.
Hata hivyo kuna jinsi nzuri zaidi ya kudai haki bila kutumia uongo, kuwagawa watu kidini Na kutupa lawama kwa watu innocent Na ambao hawajusiki kabisa Na matatizo yanayowakabili sasa hivi watanzania
 
JF ni nani??hebu fungukeni mjiulize chombo kama JF kinakuwa na watu milioni wote wana mawazo tofauti iweje u generalize simply kwakuwa comment imetoka jf??Dah waislamu duniani bado wanasafari ndefu kwakuwa naona waislam wote akili zao zina fanana!Na tatizo hawataki kujikubali na hawataki kubadrika japo kuna waislamu wenye mitazamo tofauti na dini zao na ni waelewa wako neutral!ila wengi siwaelewa kabisa!

Kama ilivyo kwa Wakristo wote akili zao zinafanana, ndio maana wanaruhusu ndoa za jinsia moja makanisani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom