Kiparuanda
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,663
- 2,573
Nishule fulan ya shinyanga sema hata mm nimeisahauShule gan hyo mkuu
Wanasemaga eti ni ya Mama Salma JK hiyo shuleππππ iko ShinyangaEeeh bana kumbe wanakuzingua kama wanavyonikata stimu
Sijui savannah plain school
Na wambura mtani vipi humkubali?Kumbe na ww limekukera yan RFA sku hiz inapoteza mvuto kabisa kwanza watangazaji sio wabunifu kabisa kwenye vipind vyao.
Atleast mm cku hiz namkubali sana yule jamaa wa mambomambo yeye anjiita Mr C
Inaitwa savannah....bongo ubunifu ni tatizo sanaNishule fulan ya shinyanga sema hata mm nimeisahau
Shule inaitwa Savannah nn sijui yani very unprofessional way of presentation.Shule gan hyo mkuu
Duhh inasemekana lkn[emoji5] [emoji5]Wanasemaga eti ni ya Mama Salma JK hiyo shuleππππ iko Shinyanga
Namkubal kwenye kipindi anacho kimaster sema shida ya RFA ni moja ya kila presenter anaweza pangiwa kipindi chochote kias ambacho ladha ya kipind hupotea yan matangazaji huyohuyo anasoma taarifa ya habar, michezo, matukio, nk yan nishida tuNa wambura mtani vipi humkubali?
Labda ana shortage ya human resourceNamkubal kwenye kipindi anacho kimaster sema shida ya RFA ni moja ya kila presenter anaweza pangiwa kipindi chochote kias ambacho ladha ya kipind hupotea yan matangazaji huyohuyo anasoma taarifa ya habar, michezo, matukio, nk yan nishida tu
Tuma CV na Application letter..resource watu mbona mpo kibaooLabda ana shortage ya human resource
Naipata hiyo shule I think ipo pembezon mwa barabara,kuna kipindi ilifungiwaWanasemaga eti ni ya Mama Salma JK hiyo shuleππππ iko Shinyanga
Aajir kama uwezo haupo zima matangazo. Au weka vipindi vichache ila vya maana sio kwa wiki vipindi mia afu huna uwezo wa kuviendeshaLabda ana shortage ya human resource