Radio Free Africa kulikoni?

Radio Free Africa kulikoni?

Pastor Achachanda

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
3,023
Reaction score
1,316
Leo hii kwenye kipindi chao cha kutoka magazeini,wamesoma magazeti yanayosifia mkutano wa Magufuli wa Mwanza.Hivi imenunuliwa hii radio?
 
kazi ya Antony Dialo mwenyekiti wa ccm mwanza,, ndie mmiliki wa hiyo radio
 
ha! ha! ha! uko wapi we we! magazeti yote yamemsfia Dr magufuri Ndio maana ukasikia hivyo
 
Yote hii ni sababu ya ukanda. Mbona mwaka huu kazi ipo!!! Yaani hakuna maadili ya kazi kabisa Sahara media.
 
Mtoa mada wewe ni mnafiki na mzandiki sana, usichokijua ni kippi? Au unataka kujiongea posts JF Acha ulofa wewe!
 
Sahara Media ni kitengo maalum cha CCM cha Propaganda, mwisho wake ni baada ya Uchaguzi, wataenda kukifunga wenyewe.
 
Leo hii kwenye kipindi chao cha kutoka magazeini,wamesoma magazeti yanayosifia mkutano wa Magufuli wa Mwanza.Hivi imenunuliwa hii radio?

Ulikuwa hujui? Siku nyingi wanamnadi magufuli lakini ndio hivyo tena limeshabuma.

Star TV waliunganisha vipande vya mikutano na kuita ni mafuriko ya kihistoria, ndio ujue siku ya kufa nyani miti yote huteleza
 
Aisee watu mna akili sana.Yesu awabariki jamani.Tumsifu YESU Kristu
 
Back
Top Bottom