JERUSALEMU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 3,156
- 3,627
Kwa muda wa karibu majuma mawili sasa kituo hiki cha Radio kimekuwa kero kwa wasikilizaji wake kwani mitambo imekuwa ikikatika kila baada ya muda mfupi sana na hivyo kuathiri continuity ya habari.hivi najiuliza hawana mtu wa kusimamia ubora wa matangazo ya kituo chao? halafu siku hizi imekuwa ni kawaida mtangazaji wa kipindi kuchelewa zaidi ya dakika 10,unajiuliza hawa watu wako serious na kazi kweli? badilikeni msifanye kazi kwa maazoea be serious.
huenda labda wanajiandaa kuingia kwenye digitali maana vituo vingi vya redio mfano jana kuamkia leo vilikua kwenye mchakato wa KUHAMIA KWENYE DIGITALI
Hiyo digital kwenye radio inakuwaje, na watakuwa na ving'amuzi?