Changamoto2015
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 773
- 314
Wana JF,
Natumaini mu wazima wa afya tele. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nawaombeni wanye kujua hatua zipi natakiwa kuzifuata ili kuweza kuunganisha ofisi zaidi ya moja kwa mawasiliano ya Radio call / walkie talk.
Je kuna taratibu zozote za kufuata kisheria kama vile kupitia TCRA kabla sijaruhusiwa kutumia hivi vifaa kwa ajili ya mawasiliano?
Usalama wake upoje especially kwenye usiri? Haziingiliwi kirahisi na system intruders wanaoweza kuleta madhara especially kwenye mawasiliano yanayohusu siri za wateja ( client confidential information)?
Kwa upande wa gharama upoje?
Asanteni sana