Radar recruitment

thehunk

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
533
Reaction score
233
wana jf kwa yeyote aliyekwisha wahi fanya interview na hawa jamaa naomba anijuzi huwa written interview zao zikoje yani muundo wa maswal wanayopenda kuuliza
 
kama umeitwa kwenye position ya tech hua hawana maswali ya maana zaidi ya HR question na geneneral qns ila kama umeitwa pia kwnye position amabayo anaekuiinterview haijui pia hua hakuna maswali mengi ila kama hiyo position anaifahamu tegemea maswali lukuki...na kwnye written hua ni normal questions na kama aptitude test za vyuoni ila unatakiwa uwe na idea ya math yapo mengi amabayo hua ni ver simple na hua ni kwa mda mfupi sana
 
maswali ya appt test ya kawaida sana pitia vihesabu, herufi na maumbo utapata yote.
 
Hao jamaa wazushi lakini nao. Ila nisikukatishe tamaa. Yawezekana wazushi kwangu na kwako ukapeta.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…