RADAL RECRUITMENT. help

option

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
2,029
Reaction score
1,501
nimepigiwa cm na hawa jamaa kuna interview wataiendesha ni kama graduate trainee hivi, msaada yeyote anaejua kuhusiana na hiyo kitu na maswali wanayouliza, in short mtu yeyote aliyewahi kulink na hawa radal wakoje?
 
Jiandae na aptitude test yenye maswali general na simple basic maths if it is your first time. Matokeo utayapata hapo hapo after kama 10 minutes hivi then the normal interview follows.
 
Ni Radar sio Radal,wako Barclays house opposite Serena hotel.
 
ukiingia pale reception unaposubiria kuingia kwenye aptitude ukikuwa karatasi yoyote au maswali kuwa makini sana na ingia ukiyajua coz wanatabia ya kuiweka hiyo test pale mezani kwenye magazeti. Ila sio razima kuikuta.
 
nadhani hiyo siku ya interview itakuwa full kuyatafuta magazeti na kuyatolea macho na ukimuona mwenzio kaka na gazet zaid ya dk 10 ku mind tu oyaa ....oyaaa unatakakufaulu peke yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…