R.O.M.A mkatoliki Ft Bob Junior- Maumivu

JONASON

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2014
Posts
462
Reaction score
713
Msanii R.O.M.A mkatoliki a.k.a Ninja amedondosha bonge la track kwa jina la Maumivu akimshirikisha msanii Bob Junior na ndie producer wa wimbo huu toka sharobaro Record. Wimbo umetambulishwa siku ya leo na kifupi hiyo ni ahadi imetimia baada ya R.O.M.A kuahidi endapo Brazil itafungwa na Germany katika kombe la dunia basi atahama toka studio za Tongwe record na kwenda kurekodi studio za Sharobaro Record na baada ya timu ya Brazil kupigwa bao7basi leo ahadi ya R.O.M.A imetimia
 
nimekimbilia kupakua nyimbo yenyewe mbayaaa! ngoja niendelee zangu kuwasikiliza Antestor.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…