Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 444
- 674
R.I.P RAMBO 😢😢😢
Nenda salama Rambo japo tulihitaji kubaki nawe ila haina jinsi nenda kapumzike. Rambo nitakukumbuka zaidi asubuhi nitakapokuwa nawasha moto ulinisaidia, pia nitakapokwenda kijiweni kusoma magazeti nitakukumbuka kwamaana wewe umechangia mmi kujua kusoma madaftari nilibeba kupitia wew,
Nasema nitakukumbuka zaidi nitakapoenda kwa mama mihogo nawaza atanifungia na nn R.I.P Rambo👏
Rambo unanifanya nikulilie bila kukoma usiku nikirudi mishe zile chipsi, na matunda nitabebea wapi? ili demu wangu afurahi. Na mvua hizi cm yangu nitahifadhia nn?
Rambo hukuwa na tabaka, tajiri na maskini wote ulituthamini.
Nashindwa la kusema nabaki tu nalia ila nitakumisi sana. R I P RAMBO. chaupole utawaliza wengi sana.😭😢
Haya nawew unamkumbuka kwa lipi Rambo?😭😭😭