R.I.P Prof Michael Kishimba

mussamhando

Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
48
Reaction score
6
Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimepata pigo lingine baada ya kuondokewa na Professor wake mahiri katika mambo ya Chemia. Ukweli alikuwa bingwa sana katika eneo lake na alishasimamia wanafunzi wengi sana katika hatua ya shada ya pili. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi amin.
 
Inasikitisha, huyu prof niliwahi kumuomba enzi hizo kihela nilikuwa nimekwama vihela kipindi natafuta maisha, akaniambia hakuwa na hela, nilimuamini, inasikitisha prof wengi wanavyoishi maisha ya kubangaiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…