Mbona hiyo inatisha. Kwa kweli CCM inazidi kupoteza utu wa mtanzania. Huwa najiuliza hivi kweli nchi yangu ina viongozi wenye uchungu na watu wao? Yaani tungeuza tu shangingi moja la mkuu wa wilaya, tungeweza kupata mahema kibao ya kuhifadhia watu kwa babu. RIP kamanda, ulikuwa unapigania afya yako mpaka dkika ya mwisho. Mungu atakusamehe makosa yako kwa kuwa ameona unavyohangaika mpaka unakata pumzi