R.I.P Kiroba,hatutakuona tena

Sjui Chadema watawapa nn wapiga kura wao kwenye kampen 2020
 
Tumia akili.......mambo ya kiroba na chama yanaingianaje?
Kuwa mpole dadaangu.. Kwan Ww hujui kwamba wapiga kura na wahudhuriaji wakubwa kwenye kampen za cdm kivutio chao ulikuwa viroba
 
Imetolewa uamuzi wa kisiasa ni mapema sana kuna watu wana stock za viroba nani atawalipa hasara hiyo
 
Kuwa mpole dadaangu.. Kwan Ww hujui kwamba wapiga kura na wahudhuriaji wakubwa kwenye kampen za cdm kivutio chao ulikuwa viroba
Jiangalie usije ukapumuliwa na kushikishwa ukuta....sio kila mtu ni dadako ....oohh!!
 
Pombe zilizopakiwa kwenye vijifuko vya Plastic kutoka kampuni ya Tanzania Distilleries, hizo zitaendelea kuuzwa.

Wamekidhi vigezo na masharti, kwahiyo wameongezewa muda ili wajiandae na hii system mpya.
 
Kuwa mpole dadaangu.. Kwan Ww hujui kwamba wapiga kura na wahudhuriaji wakubwa kwenye kampen za cdm kivutio chao ulikuwa viroba
Kama hauna cha kuchangia si upige kimya tu? Kwanini unajidhalilisha hivi?
 
Sjui Chadema watawapa nn wapiga kura wao kwenye kampen 2020

hasa ukizingatia nyie CCM mtawapa wapiga kura wenu madawa ya kulevya aina ya heroin, mzigo utakao kuwa supplied na kada na mwanaharakati wa CCM Kinje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…