R.I.P Katibu Mwenezi Kimandolu Arusha Robert Bifoo

R.I.P Katibu Mwenezi Kimandolu Arusha Robert Bifoo

Arnold Ringo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
2,318
Reaction score
394
Safari ya mwisho ya katibu mwenezi wetu wa chadema kata ya kimandolu robat bifoo umetuachia pengo kubwa sana ulikuwa jemedari ulipigania haki tuta yaenzi yale mema uliyo acha bifoo tumekupenda lakini Mungu amekupenda zaidi Bifoo kaka yetu rafiki yetu naandika nikiwa natoa machozi ila tutakuombea ufike pema peponi ulikuwa unatushauri mambo mengi sana hususan kisiasa kazi ya bwana haina makosa r.i.p kaka yetu amen
attachment.php
 

Attachments

  • chadema1.jpg
    chadema1.jpg
    87.8 KB · Views: 253
  • chadema2.jpg
    chadema2.jpg
    91.9 KB · Views: 254
  • chadema3.jpg
    chadema3.jpg
    112.4 KB · Views: 239
  • chadema4.jpg
    chadema4.jpg
    117.3 KB · Views: 777
  • chadema5.jpg
    chadema5.jpg
    73.8 KB · Views: 236
  • chadema6.jpg
    chadema6.jpg
    134.5 KB · Views: 244
Lala salama kamanda. Umeondoka mapema mno, hata kabla "hatujakomboa" nchi!
 
[FONT=Whitney, sans-serif]One bright morning when man work is over man will fly away home to Zion [/FONT]
 
RIP Kamanda Bifoo, tutakukumbuka daima, itachukua muda sana kumpata kiongozi atakayeliziba pengo lako, tunaamini, tunakumbuka katika nafasi yako kama mwenezi wa chama kimandolu.

Bifoo alikuwa kiongozi aliyejitolea kwa ujasiri, kujitolea kwa moyo kupigania haki.

RIP Robert Bifoo
 
Rip. B 4.....naifuta namba yako sasa ivi kwa uchungu sana..
 
Back
Top Bottom