ellyrehema JF-Expert Member Joined Jan 13, 2012 Posts 1,197 Reaction score 1,018 Nov 24, 2017 #61 Vyeti vya kufoji, au kakamatwa na semester
Lorenzo Insigne Senior Member Joined Nov 14, 2017 Posts 132 Reaction score 328 Nov 24, 2017 #62 vicheche wawili said: Mkuu unawezaga ukafatilia hata uzi moja ujue kulikoni. Sasa watu wananiambia niseme ila ni mengi ndio maana nimewaambia kama wameguswa wanaweza pitia nyuzi mbili tatu sasa hawaelewi Click to expand... Mkuu mambo ni mengi? kwani haukufupisha habari kwa maneno 200 katika somo la kiswahili o-level? weka main points usaidiwe mkuu!
vicheche wawili said: Mkuu unawezaga ukafatilia hata uzi moja ujue kulikoni. Sasa watu wananiambia niseme ila ni mengi ndio maana nimewaambia kama wameguswa wanaweza pitia nyuzi mbili tatu sasa hawaelewi Click to expand... Mkuu mambo ni mengi? kwani haukufupisha habari kwa maneno 200 katika somo la kiswahili o-level? weka main points usaidiwe mkuu!
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Nov 24, 2017 Thread starter #63 Lorenzo Insigne said: Mkuu mambo ni mengi? kwani haukufupisha habari kwa maneno 200 katika somo la kiswahili o-level? weka main points usaidiwe mkuu! Click to expand... Asante mkuu.
Lorenzo Insigne said: Mkuu mambo ni mengi? kwani haukufupisha habari kwa maneno 200 katika somo la kiswahili o-level? weka main points usaidiwe mkuu! Click to expand... Asante mkuu.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,049 Nov 24, 2017 #64 Mkuu funguka
mop JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 867 Reaction score 652 Nov 24, 2017 #65 Acha majungu,ushindwe mwenyewe kusoma hlf utafute watu wa kulaumu haitokusaidia pambana na hali yako kama ndo uliyoyachagua hayo
Acha majungu,ushindwe mwenyewe kusoma hlf utafute watu wa kulaumu haitokusaidia pambana na hali yako kama ndo uliyoyachagua hayo
Shadrack K. Lwila JF-Expert Member Joined Jul 17, 2016 Posts 4,925 Reaction score 14,297 Nov 24, 2017 #67 Mkuu r.i.p degree yako?? Eleza eleza basi nini tatizo tujue tunakushauri vipi sasa?
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Nov 24, 2017 Thread starter #68 Shadrack K. Lwila said: Mkuu r.i.p degree yako?? Eleza eleza basi nini tatizo tujue tunakushauri vipi sasa? Click to expand... Very long story. Kwa kunisaidia waweza pitia threads za nyuma
Shadrack K. Lwila said: Mkuu r.i.p degree yako?? Eleza eleza basi nini tatizo tujue tunakushauri vipi sasa? Click to expand... Very long story. Kwa kunisaidia waweza pitia threads za nyuma