sasa ni sisi au wewe mwenye shida?Pitia threads zangu za nyuma
hahahaha jukwaa lenyewe tunatumia id fake halafu mtu anashindwa kujielezea huwa mimi nashangaa sanaHana akili sawa huyu tumuache kama alivyo sijui alianzisha uzi wa nn shuwaini bastadi
Hana akili sawa huyu tumuache kama alivyo sijui alianzisha uzi wa nn shuwaini bastadi
Kama umeshindwa kupitia nyuzi za nyuma we huna msaada piti ivi.Sio ajabu hautapata hiyo degree maana unamapungufu ya hekima na busara. Unakuwa kama wale wasichana wanaobalehe yaani anaweza nuna bila sababu ili umdekeze na kumuuliza tatizo ni nini na bado asikwambie atajivunga na kumumunya maneno ili tu sijui iweje kwasababu za kipuuzi tu zisizo na mashiko.
Sasa wewe sisi hatukuomba uje utulalamikie hapa. Umeleta thread kwamba wadau tujue kuna tatizo tushare nawe tukusaidie suluhu. Ila wewe unaanza kuuma uma maneno hakuna unachosema zaidi ya kutuambia sijui tusome thread zilizopita. Hivi una akili sawa sawa wewe?!
Kama kuna watu wanakukomoa naungana nao mkono unaonekana we ni jeuri sana wacha waikate hiyo degree wasome wenye adabu, wewe kazi tu kuja kumbwela hapa kibwege bwege.....
Tokaaaaaaaaa ..........tena kwendraaaaaaaaa punguwani wahedi kabisa.
Nope mm ni neutral sasa.sasa ni sisi au wewe mwenye shida?
yaani tuanze kutafuta thread zako za nyuma halafu ndo tukushauri duh! hii sasa kazi
ila ushauri wangu kama upo chuo concetrate na kilichokupeleka (masomo)kama unataka kuendekeza harakati, migomo,siasa za kimapinduzi kujikuta malcom X au martin Luther jr trust me utasumbuliwa mpaka uone maisha machungu na mwisho wa siku utafukuzwa tu
Huo mtihani siuwezi kamwe .... you're the one who brought this ... so you're supposed to BE FRANKLY ....Pitia threads zangu za nyuma
Mie mwenyewe simuelewi ....Yaani wewe unakazania tusome thread za nyuma wakati wewe umeweka thread mpya mbona hueleweki? Unasusa chuo kwa sababu za siasa za hovyo za nchi hii halafu unategemea nini kwa mfano?
Kama sababu ya kuacha Degree kwa kututaka tusome thread zako za kale. Haya wee zika hiyo shule yako faida yake utaipata kwa watawala wa Zimbabwe. Mimi ninakupuuza rasmi.
Mkuu unawezaga ukafatilia hata uzi moja ujue kulikoni.Ungefafanua japo kidogo kinachokusibu kusema tupitie thread zako za nyuma haijakaa sawa
Ukichaa wamenifanya wabaya wangu, hauji bure...Wewe sio mzima na ndio maana hata hiyo shule inakushinda bora ukae benchi utupunguzie idadi ya wasomi wenye wasio na hekima na element za ukichaa. Sasa ulileta hapa huu upuuzi wako ili iweje kama sio unaugua wehu?!
Kalaga baho na ubozi wako.
Kazi ipo!Ukichaa wamenifanya wabaya wangu, hauji bure...
Anyway shukran kwa mchango.
Acha tuu mkuu wengi tumeshindwa kufanya cha maana miaka kadhaa, Lumumba lazma wakonyooshePole sana mkuu, ila avatar yako inaonesha ukienda upande wa pili huwnda mambo yakawa ng'aring'ari!
Unajua ndugu yangu unakera. Tunasoma hapa tukitarajia kutoa ushauri hasa nini cha kufanya uweze kumaliza masomo yako. Kumbe umeyahusanisha na siasa. Kijana ni kweli huna degree lakini hata GS si ulisoma advance je haijakusaidia kufanya reasoning kuwa siasa usikukwamishe ktk yale unayiyaamini. Hivi unavyomuona mbunge wa miaka 20 anahama chama. Au Kingunge anaachana na ccm aliyoiamini kwa miaka tangu tanu au ktbu mkuu wa zamani anapata ubalozi ktk serikali ta ccm eti bado wewe unashindwa kufanya mambo yako kisa unajibainisha na chama fulani. Please waje up.....Lazima tuwe hatred kwa sababu hamtaki tufanye kazi zetu kwa amani... daily kutuzuia na kufurahia kuona tunavyohangaika
Mtu akionyesha hisia zake wao watumia nguvu ili awe upande wao?
Mnyama husaidia binadamu mf mbwa... kuna watu hawastahili kuitwa binadamu
Disco nn kuwa wazi... Au mambo ya kijamii yaliingia kati...
Nahitaji msaada wa kisaikolojiaUnajua ndugu yangu unakera. Tunasoma hapa tukitarajia kutoa ushauri hasa nini cha kufanya uweze kumaliza masomo yako. Kumbe umeyahusanisha na siasa. Kijana ni kweli huna degree lakini hata GS si ulisoma advance je haijakusaidia kufanya reasoning kuwa siasa usikukwamishe ktk yale unayiyaamini. Hivi unavyomuona mbunge wa miaka 20 anahama chama. Au Kingunge anaachana na ccm aliyoiamini kwa miaka tangu tanu au ktbu mkuu wa zamani anapata ubalozi ktk serikali ta ccm eti bado wewe unashindwa kufanya mambo yako kisa unajibainisha na chama fulani. Please waje up.....