God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Nov 23, 2017 #1 Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi. Yote namuachia Mungu.
Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi. Yote namuachia Mungu.
BABA TUPAC JF-Expert Member Joined Sep 30, 2015 Posts 1,533 Reaction score 3,837 Nov 23, 2017 #2 Ulikuwa unasoma wapi? mwaka wa ngapi na course gani? umeshindwa kumaliza chuo kwasababu gani
whitehorse JF-Expert Member Joined Aug 29, 2009 Posts 2,570 Reaction score 4,450 Nov 23, 2017 #3 Usikate tamaa weka nguvu yako kushirikisha watu huwezi kukosa msaada ukinyoosha maneno mkuu
Mother Confessor JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 18,682 Reaction score 45,597 Nov 23, 2017 #5 Nini mbaya jamanii...!?
akhilly Member Joined Nov 3, 2017 Posts 43 Reaction score 34 Nov 23, 2017 #6 Wenye nchi ndo wamekuzuia kuendelea Mkuu ah Shida nini?
carcinoma JF-Expert Member Joined Mar 5, 2017 Posts 5,059 Reaction score 13,802 Nov 23, 2017 #7 Relax bro..take a deep breath.. kunywa maji ya baridi ya buku then ndio uje kutoa story yako nzima.. Ukipanic hivyo alaf ukaandika uzi hakuna atakaye kuelewa
Relax bro..take a deep breath.. kunywa maji ya baridi ya buku then ndio uje kutoa story yako nzima.. Ukipanic hivyo alaf ukaandika uzi hakuna atakaye kuelewa
white hat JF-Expert Member Joined Dec 16, 2016 Posts 3,320 Reaction score 2,488 Nov 23, 2017 #8 vicheche wawili said: Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi. Yote namuachia Mungu. Click to expand... vipi mkopo nini?
vicheche wawili said: Nilitaman sana kumaliza elimu yangu lakini haikua hivyo kwa sababu ya wenye nchi. Yote namuachia Mungu. Click to expand... vipi mkopo nini?
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,555 Nov 23, 2017 #9 Kwa uandishi huu usioeleweka bora tu umeshindwa kumalizia hiyo degree yako maana ungemaliza tukakukabidhi ofisini za umma ungekuwa ni janga kubwa sana
Kwa uandishi huu usioeleweka bora tu umeshindwa kumalizia hiyo degree yako maana ungemaliza tukakukabidhi ofisini za umma ungekuwa ni janga kubwa sana
Nahirat JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 595 Reaction score 985 Nov 23, 2017 #10 MZEE MSASAMBEGU said: Kwa uandishi huu usioeleweka bora tu umeshindwa kumalizia hiyo degree yako man's ungemaliza tukakukabidhi ofisini za umma ungekuwa ni janga kubwa sana Click to expand... Najua umeongea hivyo kwasababu umeona avatar yake
MZEE MSASAMBEGU said: Kwa uandishi huu usioeleweka bora tu umeshindwa kumalizia hiyo degree yako man's ungemaliza tukakukabidhi ofisini za umma ungekuwa ni janga kubwa sana Click to expand... Najua umeongea hivyo kwasababu umeona avatar yake
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,555 Nov 23, 2017 #11 Nahirat said: Najua umeongea hivyo kwasababu umeona avatar yake Click to expand... Hapana mkuu msomi gani huyo ambaye hajui kuelezea vitu akaeleweka
Nahirat said: Najua umeongea hivyo kwasababu umeona avatar yake Click to expand... Hapana mkuu msomi gani huyo ambaye hajui kuelezea vitu akaeleweka
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,555 Nov 23, 2017 #12 kinundu said: Man's ndio nn mkuu? Click to expand... Typing error...mana
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 19,766 Reaction score 39,528 Nov 23, 2017 #13 Ukimaliza kulia njoo utuelezee vizuri Tunaweza kuitisha Haram bee ya kukuchangia ili umalizie masomo yako.....
Ukimaliza kulia njoo utuelezee vizuri Tunaweza kuitisha Haram bee ya kukuchangia ili umalizie masomo yako.....
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,555 Nov 23, 2017 #14 THE RICHARDS said: Mbona nawe umekosea man's ni sawa na maana? Punguza kubwabwaja Click to expand... Mi darasa la nne sijui kuandika vizuri
THE RICHARDS said: Mbona nawe umekosea man's ni sawa na maana? Punguza kubwabwaja Click to expand... Mi darasa la nne sijui kuandika vizuri
MZEE MSASAMBEGU JF-Expert Member Joined Apr 19, 2013 Posts 2,780 Reaction score 2,555 Nov 23, 2017 #15 KikulachoChako said: Na hiyo “mana” ndio nini.....!!?? Click to expand... Maana
plock JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 468 Reaction score 516 Nov 23, 2017 #16 Hongera kwa kumuachia Mungu ila Mungu naye anapenda ueleze ukweli kwa jamii uoga ni dhambi
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Nov 23, 2017 Thread starter #17 white hat said: vipi mkopo nini? Click to expand... Mkuu nasmhukuru Mungu mkopo nilipata na ulinisaidia Niko vizuri tuu ila sasa (...) Ukikataa ule upande unaotawala kadhia zote utaziona mkuu. Nimehama chuo sababu ya hii kitu still wanakamia tuu so nime give up...
white hat said: vipi mkopo nini? Click to expand... Mkuu nasmhukuru Mungu mkopo nilipata na ulinisaidia Niko vizuri tuu ila sasa (...) Ukikataa ule upande unaotawala kadhia zote utaziona mkuu. Nimehama chuo sababu ya hii kitu still wanakamia tuu so nime give up...
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Nov 23, 2017 #18 Itakuwa HESLB wamemnyima mkopo. Wapo wengi tu wamepewa mikopo mwaka wa kwanza then mwaka wa pili wamenyimwa
Itakuwa HESLB wamemnyima mkopo. Wapo wengi tu wamepewa mikopo mwaka wa kwanza then mwaka wa pili wamenyimwa
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Nov 23, 2017 Thread starter #19 plock said: Hongera kwa kumuachia Mungu ila Mungu naye anapenda ueleze ukweli kwa jamii uoga ni dhambi Click to expand... Pitia nyuzi zangu za nyuma utaona malalamiko yangu. Niko open boss huwa simezei chochote kile yakinifika lazima nikuumbue tuu.
plock said: Hongera kwa kumuachia Mungu ila Mungu naye anapenda ueleze ukweli kwa jamii uoga ni dhambi Click to expand... Pitia nyuzi zangu za nyuma utaona malalamiko yangu. Niko open boss huwa simezei chochote kile yakinifika lazima nikuumbue tuu.
God'sBeliever JF-Expert Member Joined Sep 1, 2015 Posts 5,788 Reaction score 3,062 Nov 23, 2017 Thread starter #20 ITEGAMATWI said: Itakuwa HESLB wamemnyima mkopo. Wapo wengi tu wamepewa mikopo mwaka wa kwanza then mwaka wa pili wamenyimwa Click to expand... Nimepewa mkuu si busara kulaumu watu wasiostahili.
ITEGAMATWI said: Itakuwa HESLB wamemnyima mkopo. Wapo wengi tu wamepewa mikopo mwaka wa kwanza then mwaka wa pili wamenyimwa Click to expand... Nimepewa mkuu si busara kulaumu watu wasiostahili.