Rich Pol JF-Expert Member Oct 11, 2013 7,874 5,681 Jan 17, 2017 #1 Hatimae talk of the town imezolewa, tuliibiwa sana hapo.
M mangatara JF-Expert Member Jul 6, 2012 14,517 14,144 Jan 17, 2017 #2 Mafumbo ya nini tena mkuu. Kaa ni nini mwaga hadharani tu.
Rich Pol JF-Expert Member Oct 11, 2013 7,874 5,681 Jan 17, 2017 Thread starter #5 Ilikuwa ukilewa ukasinzia kwenye kochi, ukiamka huna simu huna wallet na mifuko imechanwa hata kama umevaa jeans
Ilikuwa ukilewa ukasinzia kwenye kochi, ukiamka huna simu huna wallet na mifuko imechanwa hata kama umevaa jeans