Lugha ina maneno ya umoja na wingi.Inaitwa Royal “We” ni principle ya lugha haionyeshi wingi inaonyesha nguvu.
Ipo kwenye kiarabu, kingereza, na lugha nyenginezo nyingiView attachment 3518980
Fundi mshona viatu anapoandika tunashona viatu na yupo peke ake pale kijiweni kwake anamaanisha nini?Waislamu mnisaidie hapa. Allah alikuwa na nani kipindi wanawaumba majini na mtu?
Quran 15:26
Na tulimuumba mtu kwa udongo unao toa sauti, unao tokana na matope yaliyo tiwa sura.
15:27
Na majini tuliwaumba kabla kwa moto wa upepo umoto.
Quran 7:11
Na hakika tulikuumbeni, kisha tukakutieni sura, kisha tukawaambia Malaika: Msujudieni Adam. Basi wakasujudu isipo kuwa Iblisi, hakuwa miongoni mwa walio sujudu
Covax
Kama una mtoto mdogo hapo nyumbani na yupo pekee yake. Muulize hiviFundi mshona viatu anapoandika tunashona viatu na yupo peke ake pale kijiweni kwake anamaanisha nini?
Soma lugha kijana, shida unachoongelea hukijui, basi hata kugoogle kumekushinda?Lugha ina maneno ya umoja na wingi.
Naenda, tunaenda, nakuja, tunakuja.
Soma vizuri hiyo namba 2 utagundua kuwa Queen au King hayupo pekee yake. Kuna washauri wake au watu watakaofanya maamuzi pamoja na king au queen
Jibu swali ww usilete porojo za kitotoKama una mtoto mdogo hapo nyumbani na yupo pekee yake. Muulize hivi
Mwanangu mpendwa unafanya nini? Ila wewe muulize hivi wanangu wapendwa mnafanya nini? Hapo zingatia mtoto ni mmoja na yupo peke yake anacheza
Kama atatumia wingi badala ya umoja kukujibu basi hata huyo mshona viatu atatumia wingi kukujibu ingawa yupo peke yake
Queen au king huu ni utawala ambao hujumuisha viongozi wengi ndani yake (kundi la watu)Soma lugha kijana, shida unachoongelea hukijui, basi hata kugoogle kumekushinda?
“Royal we” au “Majestic we” refers to a display of power not quantity. Hata mfalme akiwa peke yake bado atasema “we”. Kama ulikuwa hujui hilo leo umejifunza jambo jipya.
Nenda tena kasome
Wingi wa Allah wa nini wakati hataki shiriki sijui shirika??Inaitwa Royal “We” ni principle ya lugha haionyeshi wingi inaonyesha nguvu.
Ipo kwenye kiarabu, kingereza, na lugha nyenginezo nyingiView attachment 3518980
Queen Victoria alivyopata mjukuu alisemaQueen au king huu ni utawala ambao hujumuisha viongozi wengi ndani yake (kundi la watu)
Kumbuka King au Queen hatoi maamuzi pekee yake ndiyo maana anatumia wingi kutoa maamuzi kuwajumuisha kundi la watu wake.
Anashona viatu ving kwa mpigoFundi mshona viatu anapoandika tunashona viatu na yupo peke ake pale kijiweni kwake anamaanisha nini?
Akili zako zipo sawa na jibu lakoAnashona viatu ving kwa mpigo