Quraan

Quraan

Status
Not open for further replies.

sweetmenthol

New Member
Joined
Dec 17, 2013
Posts
1
Reaction score
0

Now now we had received in Nigeria they had burnt Quran , it was burning til 10 min NAUDHUBILLAH min dhalik today we have to spread this sms 18 billion people so every body protest against Nigeria . If u love Qur'an spread it now now..Top news by Express news.
Only 5 mint.
Don't stop
 

Attachments

  • 1393666469756.jpg
    1393666469756.jpg
    21.1 KB · Views: 158
Qur'an haiwezi chomwa, kwa vile ni maneno hao wamechoma karatasi zilizoandikwa Qur'an ambapo si isshue. The whole Qur'an imejaa kwenye vifua vyetu na kila uchao watoto wetu wanaendelea kuiweka vifuani. Zaidi ya hilo, nowdays imejaa kwenye Androids, Windows na IOS, sijui wataichomaje nayo?
 
Qur'an haiwezi chomwa, kwa vile ni maneno hao wamechoma karatasi zilizoandikwa Qur'an ambapo si isshue. The whole Qur'an imejaa kwenye vifua vyetu na kila uchao watoto wetu wanaendelea kuiweka vifuani. Zaidi ya hilo, nowdays imejaa kwenye Androids, Windows na IOS, sijui wataichomaje nayo?
binafsi siamini kuran lakini nimeipenda hii. ni wachache wenye akili wanaweza kuwaza hivi.
 
Ndugu yangu,

Kuran ni MWONGOZO NA UJUMBE. Huu ni hadi kiyama. Vifaa vyenye kuutunza na kuusambaza vitabadilika na enzi na kuboreka lakini ujumbe utabaki. Na ujumbe huo HAUCHOMEKI. TOFAUTI IPO HAPO.
 
Najua waliandamana au wataandamana kupinga hilo jambo,Binadam kumpigania mungu ni ishara kua huyo mungu amekufa.
 
Kwa Hiyo Mkuu, Nikichoma Moto Memory Card Yenye Doc Ya Quran Mtaandamana Pia? Watu Wengine Mnakuwa Kama Hamjaelimika, Je Watu Wanaopasua Cd Zenye Quran Mnawafanya Nini? Hivyo Vitabu Si Vinachapishwa Tu Kama Vile Sani, Kitangoma Na Majarida Mengine Plus Vitabu Vya Shigongo! Au Wengine Mmeaminishwa Kuwa Kimeshushwa Kutoka Mbinguni?
 
Whoever thinks that Allah will not give Muhammad victory should go hang himself. 22:15

Losers are those who disbelieve the revelations of Allah. 39:63

Jews and Christians are evil-livers. 5:59

Evil is the handiwork of the rabbis and priests. 5:63

Ujumbe ndio huo waislam, kutoka kwenye Qur'an.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom