Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
- Thread starter
- #41
jibu ni 101
ni rahisi tu ukitumia "bodmas"
1+(20X5)=101
hapo mwanzo ni moja badala ya mbili coz ndala ipo moja
jibu ni 101
Mwalimu wako wa BODMAS kamuombe chenji.1 + 20 x 5 =105
Mwalimu naomba chenji yanguMwalimu wako wa BODMAS kamuombe chenji.

hahahahaha, tatizo sikukufindisha miye.Mwalimu naomba chenji yangu![]()
Nyerere anaitwa mwalimu=Mwalimu Nyerere, mi hakunifundisha mbona namuita mwalimu?Haha
hahahahaha, tatizo sikukufindisha miye.
Hahahaha basi acha nikupe 5%Nimekusoma mkuu....kwahiyo hapo hunipi hata maksi nusu.....?
tofautisha kati ya "Let watch=x, thus X+X+X=60, X=20, the value of watch=20.....(i)
Let tishirt=y, thus 20+2Y=30, Y=5...........................................(ii)
Let slippers=z,thus 5-Z=3, Z=2............................................(iii)
hence: 2+20*5=100+2
=102 SOLVED
Upo vizuri kiongozi .... BIG UP!tofautisha kati ya "
slippers" na "slipper".
Ahaaaaaaaa......basi sawatofautisha kati ya "
slippers" na "slipper".