Quick Sale iPhone 4, 16gb, Full accessories, bei 350,000

Quick Sale iPhone 4, 16gb, Full accessories, bei 350,000

Gvampa

Senior Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
100
Reaction score
13
Nauza iPhone 4, iko katika Hali nzuri na ni Jailbroken zifa zingine ndo kama hizo hapo bei inapungua kwa muhitaji, karibu ni ni pm for contacts.
 
Mkuu ungesema uko maeneo gani au mkoa gani, vilevile ungeweka contacts zako apa ili iwe rahisi kuliko kuanza kutaftana pm. Btw nina 250,000 kama uko tayari tufanye biashara Gvampa
 
Last edited by a moderator:
Niko Dar es salaam, Kinondoni. Kwa bei hiyo hapana mdau.
 
Back
Top Bottom