Quick book programm

Quick book programm

Kaitaba

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2009
Posts
915
Reaction score
54
Kwa wataalamu wote wa mtandao,
Natafuta mtaalaamu wa program ya quick book au progam yoyote itakayonisaidia kwenye biashara ya dawa,
itakayo onesha kiasi cha dawa kilichoingia, kilichotoka na kilicho baki.
Mwenye taaluma hiyo tuwasiliane niko hapa Dar.
 
Nimeisha ku PM angalia kwenye in box yako
 
Mkuu, kuna programu nzuri kabsa kwaajili ya biashara yako inayoitwa minishop ni nzuri sana na kizuri zaid imebuniwa na kuundwa na mtanzania mwenzetu jaribu kuitafuta namba zao ni +255 788 735 669
 
Habari yako kaitaba!nadhani kesho ndo siku tulicyopanga kuonana kuhusu quickbook!je bado unahitaji or nahitaji update
 
Habari yako kaitaba!nadhani kesho ndo siku tulicyopanga kuonana kuhusu quickbook!je bado unahitaji or nahitaji update

So hamjapeana hata namba za simu hadi sasa, both of you are not serious!


I'm an astronaut and my next mission is to explore Uranus.
 
Back
Top Bottom