Bluray,
..hata mimi i noticed that something was wrong with Gaddafi during Larry King interview.
..ama anaumwa, au anatumia ulevi wa aina fulani. yaani alionekana kama ni mtu aliyechoka na kukosa matunzo.
..pamoja na hayo sioni faida ya Gaddafi kuhudhuria hivyo vikao. he is too erratic and incoherent.