Silverstar Member Joined Jun 2, 2011 Posts 10 Reaction score 1 Jul 8, 2012 #1 Jaman wana JF nilikuwa naomba mnisaidie mealekezo ya nama ya kuunganisha simu yangu na internet(simu yenyewe ni Black Berry Curve 8310) plzzzzzzzzzz????????
Jaman wana JF nilikuwa naomba mnisaidie mealekezo ya nama ya kuunganisha simu yangu na internet(simu yenyewe ni Black Berry Curve 8310) plzzzzzzzzzz????????
NingaR JF-Expert Member Joined Apr 15, 2012 Posts 2,759 Reaction score 594 Jul 8, 2012 #2 Soma user manual, au piga 100 kwa msaada zaidi. sababu hatujui unatumia mtandao upi
Silverstar Member Joined Jun 2, 2011 Posts 10 Reaction score 1 Jul 8, 2012 Thread starter #3 Nna tumia Airtel
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,652 Reaction score 7,139 Jul 9, 2012 #4 Download desktop manager,kisha weka APN ya Airtel kwenye desktop manager,nunua bundle ya Internet baada ya hapo unaanza kusurf
Download desktop manager,kisha weka APN ya Airtel kwenye desktop manager,nunua bundle ya Internet baada ya hapo unaanza kusurf