Ila kifupi tech ni matumizi ya ujuzi wa kisayansi katika maisha ya kila siku.
Kama sayansi isipotumika hakuna tech, Sayansi imezaaa tech. Sayans inaweza kuwepo bila tech bt tech haiwez kuwepo bila sayans, thou kuna baadhi ya gunduzi au kaz zingine za kisayansi hazi wez fanyika bila kwanza kuingiza kazi za sayansi kwenyematendo