Question Of The Day:Which One Would You Rather....................


thubutuuuuuuuuuuuuuu ukimmvuruga haoni shida kukutema maana hutokuwa wa kwanza na akiri yake ameiweka kwa watoto wake
 

Naweza kumuoa mwanamke nimpandae tu, historia yake ya nyuma haina nafasi kwenye upendo wa kweli
 
Hakuna mtu ninaemuogopa kama aliyewahi kuoa then akaachana! Bora tu mwenye watoto.

inategemea
kuna wengine (mi nawajua wanaume wa 4) wanawake ndo walizingua ....somtym sisi wadada noma sana
 
Tatizo lenu wanawake huwa ni wivu kwa watoto wa wananwake wenzenu, kwani mbona sisi wanaume huwa tunaowa mwanamke tayari ameshazaa na mtoto, watoto wake unawatunza tu, kwanini nyie huo udhaifu wenu hamtaki kuachana nao?

 
Mapenzi first,..then ntafanya cost-benefit na SWOT Analysis,if he's worth it,why not...kila binadamu yan lazma kuna sehemu ataboa,(kizuri hakikosi kasoro)
uko busy unachagua jua pia na wewe unachaguliwa...
 
thubutuuuuuuuuuuuuuu ukimmvuruga haoni shida kukutema maana hutokuwa wa kwanza na akiri yake ameiweka kwa watoto wake

Wapiiiiiiiiiiiii! Wakati kuolewa tena ni kama SECOND CHANCE! Wtoto HAWAONI! Mume, mume na yeye! Ninae NDUGU YANGU! MUME NDO KILA KITU! Kasalimisha hadi MALI ZOTE!
 
all in all love is blind.

bora mwenye mtoto ila decent, sipend kujibishana na mwanamke kwa vitu visivyo na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…