Question for the ladies... Bank A/C or Bed?

Hujajibu swali la Prisoner 46664.

HAHAHAAAAAAAAA! Acha Majungu wewe! I cant say about the Boss coz im the wrongest person to ask bt i can tell you abt Prisoner 46664 RUMOUR IS HE IS LOUSY IN BOTH BED AND BANK ACCOUNT DEFINATELY! Hafai hata kwa mbolea! Dont ask me who i herd from!!!!!! WALLS HAVE EARS!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hayanihusu. Hii ni ya akina EVA, not ADAM
 
. Nakushukuru sana kwa hii comment....
 

ha ha ha,,,,even though my primary school teacher tought me not to answer a question by avoiding it...i say fair enof!
 

Yaani Nivea,dear u made my day!Yes mwanaume awe smart upstairs,ajue kuitafuta hiyo pesa!
.....Na ikibidi nitasaidia kumshauri/kufikiria wht to do
.......Mambo ya kumkuta mtu na mipesa yake hujui kaitoa wapi,na ckuhizi mambo mengi,wengi yamewatokea puani!
......So better msaidiane ila awe na kazi pa kuanzia mwenzangu
 
Kwanza hiyo "assumption ya mungu" ndiyo nini?mungu yupi huyo ana assumption?
'
Nikija kwenye mada yako ni kwamba,tunadhani tupo kwenye ulimwengu usiokua na kanuni,yaani vile maisha unavyoyatengeneza wewe ndivyo yanavyokuwa
'
Huo ni ujinga,kila kitu kina kanuni yake,mahusiano kwa mfano ni kanuni ya binadamu kuendelea kuwepo,hakuna kitu ambacho kipokipo tu,ili uweze kufaidi mazuri ya mahusiano ni lazima ufuate kanuni zake
'
Haya mambo ya kutengeneza watu kwenye akili zetu yatatupeleka shimoni,leo unataka mwenye hela,kesho utataka mzuri kitandani,wiki ijayo utataka msomi,mtondo goo utataka handsome etc,etc
'
Utaishia wapi?Tatizo watu hatupendi kuwajibika,kiuhalisia mtu anazaliwa mtupu hajui kitu,hajasoma,hana hela n.k,unataka nani ampe yote hayo ili wewe uje ule starehe bila kufanya lolote?Kwanini usitate wako ukamsomesha ukamfundisha namna ya kufanya ngono,mkatafuta pesa pamoja?
'
Mnataka mpate ambao tayari wana yote,yaani mtafuniwe nyie mmeze,maisha ya wapi hayo?Halafu hakuna binadamu mwenye kila kitu,matokeo yake mabinti mmekua makahaba,kutokana na kutokuwepo na mwenye vyote mnakua na mabwana kibao,mwenye hela,mzuri kitandani,muuza sura n.k
'
Kwanza mi nashangaa sijui ni nini kitanifanya nikupe hela,mkataba wangu na wewe ni mahusiano hela zangu zinahusikaje?Labda nikupe kwa kutaka mimi au ni mke wangu full stop,hutaki unaenda!
'
Mabinti acheni uvivu,wajibikeni na mfuate kanuni za maumbile,mnadhani mtaheshimiwa kwa kuhongwa na kujiuza?
'
Na hao wanaowapa hela nao wajinga tu!
 
How imperfect kwenye bed huyo mwenye perfect bank account? Ina uwezo wa kusimama na kuingia, au ni useless kabisa?
Vipi kuhusu cheating tuizingatie as an alternative au haipo?

Wakati mwingine uzoefu unakusaidia kujiuliza maswalg ya msingi sana!
 

Hujambo wewe ?
 
Mhhhhh....hapa nipige swaga tu, maana utafiti unaonesha kwamba asilimia 50 ya wanaume hawawezi kazi kitandani. Heee! tena yamekuja haya ya kwenye pochi? Mbona hata kwanza mahitaji yetu tu yanatushinda, sembuse mtu akuongezee hiyo sifa!

hahaha hapa umeniacha hoi kidogo
 
lara 1 naona bado unapata kigugumizi..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…