ADC Party
Member
- Sep 14, 2020
- 28
- 29
Njombe leo:
Maji ni uhai, mkoa wa njombe ni moja ya mikoa mikubwa katoka nchi yetu, mbali ya kusifika kwa ardhi nzuri inayostawisha mazao mengi ya biashara ikiwemo chai na miti.
Lakini bado inakabiliwa na changamoto ya maji Safi na salama licha ya kuwepo kwa maporomoko ya maji milimani bado serikali imeshindwa kumpa uhakika wa maji Safi na salama mwananchi wa njombe
Tukipata kibali kwa watanzania tatizo la maji njombe litakua ni hadithi, serikali ya ADC itamafisha mamlaka za maji nchini ikiwa ni pamoja na kutenga fedha zaidi ili kuimarisha usambazaji wa maji haswa vijijini nyumba Hadi nyumba kumhakikishia maji Safi na salama ya gharama nafuu
Pamoja na hayo mgombea alinadi vipaumbele vya chama cha ADC vyenye lengo la kupambana na maadui watatu wa hili
UJINGA - Elimu
MARADHI - Afya
UMASKINI- Kilimo kitakua UTI wa mgongo wa Tanzania ili kuongeza tija kwa wakulima,ajira,mapato zaidi kwa Taifa
Queen Sendiga ameomba watanzania waamini Ilani na sera za ADC na wampe Kura za ndio ifikapo tarehe 28/10/2020
Amesisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi tarehe 28 kupiga kura maana ni haki yao ya kimsingi ambayo hawatakiwi kuipoteza.