Quuen of south bado season 2 haijatoka!!, tafuta series inaitwa the catch, u won't be disappointed!.
Nzuri ila Ndo imekuwa cancelled!.Hii series ni kali sana. Nimeangalia season 1 na 2. Moja kati ya series kali kwa kipindi hiki
Kwanini wame cancell?Nzuri ila Ndo imekuwa cancelled!.
Ilikuwa inafurahisha saana!,
Step na yule dogo wa kike alivyokuja Ndo akazid kuifanya iwe nzuri zaid!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana haijawa cancelled.ipo na sasa ipo episode ya 7Nzuri ila Ndo imekuwa cancelled!.
Ilikuwa inafurahisha saana!,
Step na yule dogo wa kike alivyokuja Ndo akazid kuifanya iwe nzuri zaid!
Sent using Jamii Forums mobile app
Queen of south inaendelea,Hapana haijawa cancelled.ipo na sasa ipo episode ya 7
Sawa chief.