I don't know aee ....
How are you??
Shakmoo babu ODM.Whats cooking here?:banplease:
Basi cha kwanza ni kurelax tu, wala usiwe confused.
waangalie tu, wasome. You don't have to decide anything
there is nothing to act about sasa hivi, just watch and enjoy :argue:
Mi nilidhani ni mtu mmoja because Hashy is good at poems
But at the look of it, ni kama sio mtu mmoja.
Shabhan has warlike manner, ukute he is here kumkesa Hashycool,
na anapitia kwako kumpandisha hasira. Just seat back and watch.😛op2:
I don't know aee ....
How are you??
Mbona umeanza kuchukua sides ten jamani?Thank you sisy. naona na S kasema nimuache a handle hii issue...i like men who acts responsibly in situations like this!
Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili
Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.
Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.
Hata mi nlimwona HC days ago.. But shabhan anaonekana yupo determined..
Afu kongosho upo na ODM hapo?
ODM ni Shirika la Umma, usiku unapomkutia analala kwa mke huyo huyo.
Ni jogoo la mtaa wa kwa mtogole.
Ila sasa, CV yake haitoshi kwenye booklet utadhani Jek Chen.
Hahaha basi akipita kwako hapo umwambie namtafuta sana nna ujumbe wake..
Endelea kumsaidia shabhan kumpata michelle..
Haya, ntakuitia.
Uwiii, HC nimemwona juzi, Shabhan naye kafunguka
Huyu naye analea triplets wa ODM, baada ya kuachwa kule alikokuwa mke wa pili
Dah, nilidhani mie tu kumbe hata wewe x-mkemwenza ni hawavumi lakini wamo.
Ha ha ha ha, leo unabanwa hadharani.
HC ameuwawa akilini kwa Michelle my queen.
Here we go....:fencing:Bado nna hasira na arusha
Mbona umeanza kuchukua sides ten jamani?
Mbona umeanza kuchukua sides ten jamani?
at least naweza kuwapongeza kwa kimoja:Ha ha ha ha....not really...kila mmoja wao ana advantage zake....uchokozi tu....:A S shade:
Here we go....:fencing:
I know, na ndio maana najua hauta chukua hii challenge.i'm always into coolest sides of life!
Thats my girl...Shakmoo babu ODM.
i'm always into coolest sides of life!
at least naweza kuwapongeza kwa kimoja:
I have seen you back, I have seen you laughing. 🙂
Najua wanataniana vya uchumba, but ni utani tuThats my girl...
Hivi si wajua mjukuu ni mke wa babu eh?:A S-heart-2:
Jeez! hiyo ni Tshs, Dola ya Zimbabwe au ya Marekani. Hiyo si yatosha kununua vitumbua tu?BWM naomba kukumbusha hela ya matumizi ya watoto,nimebakiza 400,000 tu ya leo na kesho....lol