Queen Elizaberth ampokea Rais Obama akiwa kavaa headscarves - In Islam, hijab; Yazua gumzo

Status
Not open for further replies.
nimejaribu kutafsiri hivi.... duke anamuangalia rais obama huku akijisifia kuistaarabisaha dunia na kuifikishia ujumbe kuwa binadamu wote ni sawa huku queen akimtafakari first lady "what an extraordinary black woman?".. mmarekani ni mwingereza wala tusidanganyane..
 
Attachments

  • -President_Barack_Obama_and_his_wife_Michelle_met_Queen_Elizabe.jpg
    -President_Barack_Obama_and_his_wife_Michelle_met_Queen_Elizabe.jpg
    20.9 KB · Views: 41
Malkia kavaa shauri ya baridi tu, huo umri wake unatosha kabisa kumfanya avae hivyo;
 
Hakika mkuu.maana mamia kwa maelfu ya wazungu wanasilimu.
Dini siyo kigezo cha kuiona PEpo mkuu! Wangapi ni swala 5! Lkni wana zini?! Wangapi wanaomba tena huku wanalia kama wamefiwa lakini ni wanafiki wakubwa so think twice!
 
Hii haiwezi kuleta gumzo, maana alichovaa ni headscarf ingekuwa ni hijab hapo ingeleta gumzo.
Nchi nyingi zenye baridi wanawake uvaa headscarf.

FaizaFoxy unasemaje juu ya hii gumzo.
 
Mbona ni kitambaa cha kawaida, huoni wengine walivyovaa makoti ya baridi.
...na walipoingia ndani wakavua. Hii inanikumbusha yule DC wa Igunga aliyekuwa anatumika kuhujumu CHADEMA na kuna siku akawekwa mtu-kati akadundwa. Alikuwa amevaa kilemba/hijab, waislam wakachonga saaaaana kwamba mama yule kavuliwa hijab (mabega na magoti yalikuwa wazi hilo hawakuangalia)...wakaona muislam mwenzao kadhalilishwa simply from hijab......la haula ikagundulika kumbe yule mama anafuga nguruwe......likawashuka puuuuuu!! Huyu Malkia kavaa kikinga baridi washasema anataka kuritadi
 
Watu wakimezwa na imani flani inakulimit umbali wa kufikiria mambo.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom