Queen Elizaberth ampokea Rais Obama akiwa kavaa headscarves - In Islam, hijab; Yazua gumzo

Status
Not open for further replies.

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
337000FE00000578-3553625-image-m-27_1461333209819.jpg

336FBC9E00000578-3553625-image-a-76_1461326414331.jpg

336FBDDB00000578-3553625-image-a-78_1461326416107.jpg

336FB94E00000578-3552704-President_Barack_Obama_and_his_wife_Michelle_met_Queen_Elizabeth-a-15_1461328226607.jpg
336FBC9E00000578-3553625-image-a-76_1461326414331.jpg
33701C5A00000578-0-image-a-5_1461330776150.jpg
 
Baridi bhana,huyo ni bibi kuvaa kitambaa kichwani ni wajibu.Pia uislam hauruhusu miguu chini ya magoti kuonekana kwa mwanamke
SIO KWA SABABU ; KWA SIASA ZA TRUMP ANAMWITA OBAMA MUSLIM, NDO KAAMUA KUONYESHA KM QUEEN AU NDO DALILI ZA KULITADI
 
Mbona ni kitambaa cha kawaida, huoni wengine walivyovaa makoti ya baridi.
 
Wagalatia Mtapata ugonjwa wa Moyo kwa Chuki zenu.
Kila mkiongeza Chokochoko Uislamu Nao unazidi Kusambaa Duniani.

Huku Ulaya Makanisa yamebaki matupu kwa Chuki hizi. Na nyie waafrika endeleeni tu. Mtakuja tahamaki Dada zenu na mama zenu wote wanavaa Hijab na Kusali sala Tano. Na zile Kwaya zenu zooote Zitakufa Ghafla.

Nyie endeleeni tu
 
So what!!! Hivi mwarabu au mzungu wasingekuja hapa tanganyika hungeyaongea hayo?
 
Wagalatia Mtapata ugonjwa wa Moyo kwa Chuki zenu.
Kila mkiongeza Chokochoko Uislamu Nao unazidi Kusambaa Duniani.

Huku Ulaya Makanisa yamebaki matupu kwa Chuki hizi. Na nyie waafrika endeleeni tu. Mtakuja tahamaki Dada zenu na mama zenu wote wanavaa Hijab na Kusali sala Tano. Na zile Kwaya zenu zooote Zitakufa Ghafla.

Nyie endeleeni tu
mkuu kwani kuongea kejeli kwa imani tofauti nayakwako ndiyo utamaduni wa uislam?

Kaa ukijua, hata iweje uislam au wezi kuchukua watu dunia nzima, wala ukristo hauwezi kuchukua waatu dunia nzima.

Duniani kuna madheebu mengitu tofauti na ukristo na uislam, na kila mtu ana imani yake.

Sasa siyo vyema kutukana imani tofauti naya kwako, uo sio uhungwana, wala watu hawalazimishwi waamini imani unayoitaka wewe.

Ndiyo maana Boko Haram, na Islamic State wanagonga Mwamba, wakidhani kuwalazimisha watu Waamini dini ndiyo watawapata waumini.

Ni vyema kila mtu akaheshimu dini ya mwingine maana hatuishi watanzania wote dini 1 bali kila mtu Ana Dini yake na tunaishi kama ndugu.

Kinachotuunganisha ni utanzania na siyo dini, ndiyo maana nyerere aliona mbali kutamka serikali haina dini bali watu wake wana dini zao hawa wazee hawakuwa wajinga kutamka na kuweka misingi.

Tuheshimiane kila mtu na amuheshimu mwenzake.
 
Uwongo. Hicho ni kitambaa cha kawaida na kinavaliwa na wanawake wengi tu duniani kwa mtindo huo na mingine mingi tu.

Waislam mgellikuwa mnavaa hivyo si mngekuwa mnaheshimika kama watu wengine?

islamic-dress.jpg

236px-Woman_in_niqab%2C_Aleppo_%282010%29.jpg

View attachment 341663

View attachment 341664

images

Tofauti na ya Malkia, ya hawa jamaa imekaa kichawi kichawi, kishirikina, kihilahila na ki mpyango myango ku mntwa zaidi!. Angalia tofauti.
upload_2006-3-31_0-5-17.jpeg
upload_2006-3-31_0-6-43.jpeg
Huda-Falah-404_677965c.jpg
stunning-collection-ofhead-scarf-styles-21.jpg
upload_2006-3-31_0-6-13.jpeg
upload_2006-3-31_0-7-11.jpeg
article-2321472-19AEE007000005DC-897_634x741.jpg
299351,xcitefun-arabic-dress-with-headscarf-3.jpg
 
Alichovaa queen sio utamaduni wa kiarabu, ni utamaduni wa ki scotland, wanawake wengi wa kijijini england pia wanavaa sana vilemba mtindo huo, hata kwetu tanzania miaka ya ukoloni mpaka miaka ya sabini wamama wasio kuwa wa imani ya kiisilamu walikuwa wana vaa vilemba mtindo huo. Hata ukiangalia aina ya kilemba alichofunga malkia huwezi kuta mwanamke wa kiisilamu anatumia, waisilamu wana aina yao ya vilemba tofauti kabisa na pia ufungaji wao ni tofauti kabisa,

ufungaji kilemba wa ki england na maeneo jirani wao wanaruhusu nywele kuonekana kidogo lakini wa kiisilamu hawa ruhusu hata nywele moja kuonekana.

Mleta uzi huu siku akienda bukoba atashangaa saana atakapo ona kuna wazee wamevaa kanzu, atazani kuwa ni waisilamu kumbe kanzu kwa wahaya ni nguo ya jadi. Kazu sio nguo ya kiisilamu kwamaana ilivaliwa kabla hata ya mleta dini hiyo hajazaliwa, kuvaa vitambaa vichwani ilikuwepo kabla hata ya Yesu hajazaliwa. Hakuna dini kati ya ukristo au uisilamu ambao imeleta mtindo wao wa mavazi.

Mimi ni mkristo na ninapenda sana kuvaa kanzu, kuna rafiki yangu ustazi nilimuona na kanzu nzuri sana nikamwambia anitafutie kama hiyo akanishangaa kisha akaniuliza na wewe unataka kusilimu. Yeye kafundishwa kuwa kanzu ni nguo takatifu, ni nguo ya kiisilamu. Ni sawa na masai anae amini kuwa ngombe zote ni dunia ni zawamasai.
 
Wagalatia Mtapata ugonjwa wa Moyo kwa Chuki zenu.
Kila mkiongeza Chokochoko Uislamu Nao unazidi Kusambaa Duniani.

Huku Ulaya Makanisa yamebaki matupu kwa Chuki hizi. Na nyie waafrika endeleeni tu. Mtakuja tahamaki Dada zenu na mama zenu wote wanavaa Hijab na Kusali sala Tano. Na zile Kwaya zenu zooote Zitakufa Ghafla.

Nyie endeleeni tu
Wakati Ulaya na Marekani wanawaza maendeleo nyie mnawaza kueneza dini, Kwa akili hizo wacha Ulaya na Marekani waendelee kuwabonda tu.
 
Wagalatia Mtapata ugonjwa wa Moyo kwa Chuki zenu.
Kila mkiongeza Chokochoko Uislamu Nao unazidi Kusambaa Duniani.

Huku Ulaya Makanisa yamebaki matupu kwa Chuki hizi. Na nyie waafrika endeleeni tu. Mtakuja tahamaki Dada zenu na mama zenu wote wanavaa Hijab na Kusali sala Tano. Na zile Kwaya zenu zooote Zitakufa Ghafla.

Nyie endeleeni tu
Hakika mkuu.maana mamia kwa maelfu ya wazungu wanasilimu.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom