O one by one JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 5,835 Reaction score 9,330 Dec 15, 2018 #1 Hivi huyu dada siwampe kazi nyingine Wasafi maana kuimba hajui. CD inambeba ikizimwa bora ya mimi naweza kuimba. Kweli nilipe pesa kumwangalia huyu mama. Hapana.
Hivi huyu dada siwampe kazi nyingine Wasafi maana kuimba hajui. CD inambeba ikizimwa bora ya mimi naweza kuimba. Kweli nilipe pesa kumwangalia huyu mama. Hapana.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Dec 16, 2018 #2 Kazi nyingine ipi awe DJ au?
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Dec 16, 2018 #3 Aya
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,358 Dec 16, 2018 #4 Lakini huyu ana mjukuu sijui anachezaga na mjukuu saa ngapi.